wanajamii naomba kuuliza nilisoma diploma education sayansi PG. ufaulu wangu n GPA 2.9. NAWEZA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU KUSOMA EDUCATION PHYSICS MAJOR NA GEOG MINOR. ILA ADVANCE PHYSICS NNA S.
kaa ujitafakari kabla hujapost hapa.
hujiulizi kwann ccm wanagomea tumehuru ya uchaguzi?
kwann majimbo ambayo huchukuliwa na upinzani selikari hutumia nguvu sana hasa jeshi la polisi?
je unakumbuka kwamba tul8kuwa na selikari ya chama kimoja? je mali zile zibali kuwa za chama kimoja?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.