Na DNA za Wapalestina wanaoshikilia mateka wa Israel na kuwaonyeha kwenye TV kila siku DNA zao hazijasomwa ?
Wako Gaza Strip, padogo, SQ Meter 365. Kwa Tanzania huo ni mtaa, yani ikifika kama mitaa 10 ndo inakuwa kata moja, tuseme Mbagala labda, SQ Meter 2,500. Gaza Strip zipo kumi Mbagala...