Inatakiwa kuwa na thamani halisi wakati wa kukata bima unashauriwa kutumia valuers ili wakutajie thamani halisi. Gari mnaweza ukanunua pamoja kila mtu na lake kwa miaka 4 yakipata ajali yanaweza yakalipwa tofauti kwa sababu mbalimbali. Mfano gari ya kwanza ameiongeza thamani kwa kubadilisha...
Mkuu hayo mambo ya kizamani, sasa hivi ukikatiwa sticker ya bima inaingizwa kwenye mtandao ambo kila mtu aweza kuhakiki.Huna haja ya kupiga simu kwa wakala. Askari anaingiza no ya sticker tu kwwnye mfumo anapata taarifa zote. Sikushauri kufanya mchezo huu kabisa
Kwani ukidakwa ni hatari. Pili...
Naomba kukusahihisha kuwa crdb siyo kampuni ya bima ila ni wakala wa bima,pili tan re ni kampuni ya bima ila haifanyi kazi moja kwa moja na mteja (tunaiita reinsurance company).
Kama huoni bima yako kuwa imesajiliwa nenda ulipokatia au kampuni husika utafanyiwa uhakiki na kusajiliwa hapo hapo.
X trail ni gari nzuri ila watum8aji na mafundi wa kunjunga ndio tatizo. X trail kama hybrid za toyota inataka recomendend lubricants usipotumia utazalisha matatizo na mwishowe kuharibu engine
Hilo linawezekana mkuu kwani space ya kuweka engine ni sawa. Na ya 2nz. Ila itakubidi ununue engine na gear box yake kwa maana mfumo wa 1NZ uko mara tatu tofauti kwa ndani ila kwa nje uko sawa.
Kosa kubwa ni uelewa mdogo. Kila gari ina specification zake za gear box oil, ukikosea kuweka oil unaua gear box, kwa mfano automatic (atf) ziko nyingi cha msingi usome stic ya gear box imeandikwa no gani. Pili huwa haibadilishwi hovyo huyo anayekuambia kubadilisha kila baada ya service hayuko...
Mshana,belta na ist zote zinatumia engine moja ya 1NZ FE. Angalia list ya magari inayotumia engine hiyo
Mshana,belta na ist zote zinatumia engine moja ya 1NZ FE. Angalia list ya magari inayotumia engine hiyo
Lege,mshana naomba kukumbushwa sensor ambayo ikianza kufa gari huzima ukiwa umesimama huku gari ikiwa kwenye gia. Ila ukiweka parking au neutral haizimi.
Transmission oil zinatofautiana sana sio kati ya cvt. Peke yake. Nakushauri usome stick ya gari husika,kwani ukibadilisha wrong transmission utaua gear box
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.