Mimi ni dada wa miaka 38 nina watoto 3 kwenye ndoa nina miaka 13, mume wangu ana umri miaka 52.
Mwaka huu mwanzoni nilifuma sms kwenye simu ya mume wangu akijibu sms ya mchepuko.
Ni hivi mchepuko alimwandikia kwamba ana mimba yake, yeye akajibu kwamba sio mimba yake siku ambayo walikutana...
Sawa sawa Mdukuzi, nakumbaliana na wewe, kwa mfano wengine wana vibamia, wengine mkono wa tembo, wengine mguu wa mtoto n.k. upo hapooo! kwahiyo mwanaume anatatuta ladha tofauti mwanamke pia!
Who cares umenifanya nicheke kama jina lako lilivyo wewe inaelekea ujari feelings za wenzako, jamani nimejitahindi sana kumfurahisha, kumheshimu mume wangu. uwa na muuliza mara kwa mara anakosa nini au nimekosea nini mimi jibu lake anaishia kusema hamna kitu nilichomkosea wala hakuna anachokosa...
Kiukweli nimetokea kumchukia mume wangu, imetokea hata sifa zakua na mimi tena sizioni. Mimi ni mwaminifu mwenzagu malaya, yeye ni kufukuzana tuu na Malaya kila kukicha, leo huyu kesho huyu, ana musululu wa wawanawake ambao ametembea nao mpaka kinya . katembea na barmaid kila bar anapoenda...
Sio wafanya usafi tuu mpaka walinzi wa makampuni mbalimbali, na hiyo ofisi unayoisifia inaongoza kwa ngono, tabia ya ma afisa kutembea na wafanya usafi, walinzi. huku wakijifanya wanapunguza mambukizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.