Recent content by Timothy Peter Thomas

  1. Timothy Peter Thomas

    Uswisi sasa kurejesha mabilioni ya mafisadi

    Huu ni mwanzo mzuri.. Walioanza kumtuhumu Zitto kuwa anakurupuka katika anayoyafanya nadhani sasa watauapprove uthabiti wake katika kusimamia rasilimali za watanzania na kuwa ni mmoja kati ya viongozi wanaohitajika Tanzania.
  2. Timothy Peter Thomas

    Kazi ya kusaka Mabilioni nje yaanza: Rostam, Mbowe, Ngeleja wahojiwa!

    Ndugu yangu Kiloriti, Zipo taratibu nzuri zaidi za kuzijibu tuhuma mufilisi zinazotolewa juu ya viongozi wa vyama vya siasa, serikali au hata taasisi zingine. Sina shaka hata wewe utatoa majibu kwenye mambo yanayozungumzwa kuhusu wewe pale tu unapoona yana mashiko, sio kila kitu utakitolea...
  3. Timothy Peter Thomas

    Hawa viongozi wa CHADEMA ni tatizo kubwa

    Mtoa mada ameonesha wazi kuwa anakifahamu vema Chama cha Demokrasia na Maendeleo mkoa wa Singida. Hii pekee ni karata nzuri ya kusaidiana na wanaokijenga ili kukipa maendeleo. Kazi ya kujenga chama cha Siasa, tena katika mazingira ya upinzani mkali kutoka kwa watawala si kazi ndogo hata kidogo...
  4. Timothy Peter Thomas

    Hawa viongozi wa CHADEMA ni tatizo kubwa

    Katika watu ambao wamekisaidia chama mkoa wa Singida ni Mwenyekiti na Katibu aliyeko sasa, watu ambao unawashutumu kuwa hawana uwezo kiuongozi. Mwenyekiti ametumia muda na rasilimali zake nyingi kukipa chama heshima iliyoko sasa. Daima amekuwa ni mtu msikivu na anapokea ushauri wa mtu yeyote na...
  5. Timothy Peter Thomas

    Hawa viongozi wa CHADEMA ni tatizo kubwa

    Kwanza nianze na kumsaidia tu mtoa mada. Malalamiko yake ni ya msingi na yanapaswa kufanyiwa kazi. CHADEMA kinapitia wakati muhimu sana kwa sasa. Huu ndio wakati kinapoongeza idadi ya wanachama, viongozi na hata wadau wengine wanaokiunga mkono. Izingatiwe pia kuwa, wanaokuwa viongozi ndani ya...
  6. Timothy Peter Thomas

    Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

    Kuna ishara za wazi kabisa kuwa hukitambui vema unachokizungumza. Katiba ya chama iko wazi kabisa juu ya lini uchaguzi unapaswa kufanyika. Chama hakiwezi kufuata maoni ya misukule mnaokesha kukibomoa, chama kinaendeshwa kwa katiba. Katiba hii anayo pia msajili wa vyama vya siasa, na anatarajia...
  7. Timothy Peter Thomas

    Tamko la Shura ya Maimamu Tanzania

    Taarifa ya mwanzo si ilikataa kuwa Polisi hawakupiga risasi katika tafrani hiyo?? Ama kweli!!
  8. Timothy Peter Thomas

    CHADEMA kutoa machozi ya damu kustaafu kwa Tendwa; sasa hakuna tena kubebwa bebwa!

    Maybe pia inaweza kutokutofautiana na ukweli kwamba Mwigulu tulimfuma na mke wa mtu Igunga na akanusurika na kipigo cha mbwa mwizi, tena kweupee! Au ukweli kuwa Chama Chenu Magamba kinaongoza kwa kuwa na watendaji wasioona umuhmu wa shule wala hoja.. Au umesahau kuwa kwa sasa mnaongoza kwa...
  9. Timothy Peter Thomas

    CHADEMA kutoa machozi ya damu kustaafu kwa Tendwa; sasa hakuna tena kubebwa bebwa!

    Bado sijaiona hiyo nguvu ya Mutungi na sheria zake dhaifu, za kibaguzi na za kikandamizaji kukifuta CHADEMA. Yeye naye ni zao la mfumo mbovu, amekabidhiwa ofisi kwa kazi maalumu, nasi hlo tunajiandaa nalo.. Aangalie tu yasije yakampata kama yale ya Jaji........... wa kesi ya wale makada wa...
  10. Timothy Peter Thomas

    CHADEMA kutoa machozi ya damu kustaafu kwa Tendwa; sasa hakuna tena kubebwa bebwa!

    Kwa wasiomfahamu huyu wanaweza kudhani wanazungumza na GT., Ila tunaomfahamu hatuna shaka tunazungumza na MT.
  11. Timothy Peter Thomas

    Chadema wamehonga tsh mil 9 kufanikisha chaguzi Ardhi University

    Wagombea walikuwa watatu kwa nafasi za urais, na wawili kati yao, kampeni zao zilisimamiwa na viongozi wa juu wa chama cha mapinduzi chuo kikuu Ardhi, Mwenyekiti wa tawi na katibu mwenezi. Kama CHADEMA kilitoa hizo milioni tisa, kisingeweza kuzitoa kwa ajili ya hao, ni lazima kingezitoa kwa...
  12. Timothy Peter Thomas

    Chadema wamehonga tsh mil 9 kufanikisha chaguzi Ardhi University

    Mr. Hamidu, Akili za kuunga unga hizi.. Wala usikimbilie JF kuuelezea ujinga wako.., Nione mimi ndiye niliyesimamia kampeni za bwana Sabini mwanzo mpaka mwisho nikupe details zote za mapato na matumizi, sio kuwapotezea watu muda wao kusoma threas zako za kulialia.. After all ameshinda, kawape...
  13. Timothy Peter Thomas

    CCM damu yangu! Ikifa na mimi Nakufa..

    Hawa wanaosota leo nao pia ni wanadamu, ungewaonea huruma nao..
  14. Timothy Peter Thomas

    Chadema wamehonga tsh mil 9 kufanikisha chaguzi Ardhi University

    Endeleeni kuropoka tu., lakini msisahau kuwa Dhahabu ni dhahabu...
Back
Top Bottom