HII NCHI SIO SECULAR STATE JAMANI...ni non secular..na maana nchi haina dini ila watu wanadini..mimi siwapingi waislamu kuwa na mahakama ya kadhi..ila kitu nachohofia ni kwamba italeta utengano baina ya waislamu na jamii kwa ujumla hasa ukizingatia kwa jamii tunayoishi haiitaji sheria za jino...
mimi yashawah nikuta..dada mmoja best sana alinishaur ila nikamgomea lakin akazid kunishawishi sana..mm nlipima nikaona hapa maslah hakuna wote wez tuu..basi bana ili nisimvunje moyo nikamwambia pesa sina..japo nilikuwa nayo..akanambia nitakuongezea ulipopungukiwa..nikamwambia kat ya 360000...
kwani hapa kichina kipi hadi mtu abishe?je aljazeera,Dw na vyanzo vingine ni waongo?na kama ni waongo uchunguz wenu uko wap nyie wa bongo?WITHOUT RESEARCH NO RIGHT TO SAY....haya mambo yanaukwel ndio maana wenye maendeleo ya technology wanayaweka bayana....nyalandu na membe wanabisha bure ila...
nimekuwa nikisikiliza mahojiano ya BBC london na msemaji wa serikali ya TANZANIA juu rais wa china kuondoka na meno ya tembo....HAKUNA HOJA ANAYOTOA HUYU WAZIRI ZAIDI YA KUJIKANYAGA TU.
NA NDIO MAANA NASEMA BUSARA HUNA...NAZUNGUMZIA MASWALA YA MATUSI, TENA BADO UNATUKANA...swala sio kukiukwa katiba bt jenga hoja kwamba wapendelea nin koz mawazo yako pia n muhmu kwa CDM endapo yanauzito...sio uje na hoja @ ooh! MBOWE kaishiwa, hyo siasa au PROPAGANDA?
Sasa mambo ya CDM huyu msajil wa chama anayafwatilia ya nin wakat hata CCM,CUF bado kuna uoza? Kuna maslah gan hapa? Maana alyetoa malalamiko ni mwigamba.
Hv katiba ya CCM inasemaje kuhusu uchaguzi wa mwenye kiti?hapa naomba kufahamishwa..NINAVYOELEWA ANAECHAGULIWA KUWA RAIS NDO MWENYEKIT...kama anayekuwa RAIS Ndo mwenyekit haki iko wap kwa wanaotaka kugombea nyadhfa hyo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.