Recent content by time01

  1. T

    JamiiForums Hivi mke wangu anajiandaa kuachana na mimi au?

    Mtu mwenye mpenzi halaf akatafta mpenz mwengine maana yake hampendi huyu alonae,sabab kama angekuwa anampenda mwengne angemtafuta wa nin? Najivika kiatu cha mkeo, amegundua kubwa ni kuwaandalia future watoto na si kulazimisha lisilokuwepo.
  2. T

    JamiiForums Mwanaume kucheat ni kawaida sana wala haitaji mwanamke kulia lia

    Yan uko sahih na inawezekana. Hivi mtu mzma mwenye akili timamu ameamua kuchepuka we utampa adhabu gan? Hiyo ni hulka yake. Dawa ni kumdharau. Mimi simuulizi, akilala huko hata mwaka i dnt care. Siku akikumbuka familia yake ntampokea kama kawaida tena wala simuhoji sabab michepuko na raha yake...
  3. T

    JamiiForums Una wazo zuri la Biashara? Na hauna Mtaji? Niambie tushirikiane kufanya biashara

    Habari, ungeweka namba ya simu au hata email. Mimi ni muhitaji na sijui hayo mambo ya PM. au nielekeze nfanyeje ili ku pm?
  4. T

    JamiiForums Mbunge: wanawake mnamkosea Mungu

    Uko sahihi sana. Tatizo wanawake tumesahau nafasi zetu. Ndo mana siku hizi kuna wachungaj wanawake while biblia inasema mchungaji awe mume wa mke mmoja. I HATE GENDER EQUALITY. Inawadanganya wanawake sana. Nafurahi kuwe mke ninaejua MY PURPOSE ON EARTH. Haijawah na haitotokea kuwa na usawa kati...
  5. T

    JamiiForums Nimeumizwa na Mwanamke; sifikirii kupenda tena kwa sasa!

    Utampata wako wa uhakika, lakini mlikutana wapi? Au mlikutana jf na ndoa na talaka pia jf? Kiukweli ukishatuliza akili. Muombe mungu akujaalie mke mwenye hofu ya mungu
Back
Top Bottom