Hizo zote ni facts na wala sio evidence.
Unajua evidence wewe?
Nilitaraji ungeleta ushahidi wa kura alizopata Diamond vis-à-vis kura za kiba. au jinsi mchakato mzima ulivyochakachuliwa.
lakini unaleta blah blah tu.
Leta EVIDENCE
Kweli aisee, kwani unaoa ili upate dobi? Oa coz unampenda sio unaoa ili upate wa kukufulia, kukunyooshea kukupikia nk. Sawa kuna majukumu ya mke, lakini wanaume pia mnahitaji kuwa waelewa..kuna kuchoka. Sio ukioa ndio ubweteke tu unasubiri kufanyiwa kila kitu.. Put yourself into her shoes..can...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.