Kwa issue ya Kanumba kwamba alichemsha kwenye ngeli hilo halina ubishini ni kiasi cha kujifunza tu kwani lugha yoyote ukijifunza utaimasta.ILa hawa nao inelekea wameishiwa,kwa lugha yao wameanza kufuli.Habari ya kuanza kumuonyesha huyu dogo Mhindi fisadi mara Yanga sijui imefanyaje ni mwanzo wa...
Hii ndiyo bongo yetu bwana.Unaona vikwangua anga vinaota tu hapa bongo na magari ya kifahari kila uchao unajiuliza hivi hawa wenzetu mshiko wanaupata wapi?Kumbe watu wanakamua kwa kwenda mbele halafu hospitali hazina dawa,mikopo ya elimu ya juu mizengwe kwa kwenda mbele,huko vijijini ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.