Tatizo ni kwamba onja onja nyingiiiiii then anaanza kuchagua na mademu wa siku hizi akishajua unam........ vilivyo wengine wako tayari kuacha waume zao huko anakuganda kijana wa watu. Duh!!!! Dhambi jamani
JAMANI WANA JF HABARI,
Mimi nafanya kazi kwenye taasisi moja kubwa tuu na mshahara wangu mzuri tuu najimudu vyema. Wakati naanza kazi nikakutana na mdada mmoja ambaye alitokea kunipenda ghafla nikajikuta nimeshaingia kingi bila kujijua. Maskini ya Mungu kumbe ni mke wa mtu na hakuwa na pete na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.