Mm ni mwanamke miaka yangu 42,naishi Tanzania ni mnene,maji ya kunde,nina mtoto mmoja na ni mwajiriwa serikarin.Mbaya zaidi ninaishi na virus vya ukimwi,nahitaji mwanaume umri kuanzia, 45-58 anayeishi na virusi vya ukimwi ambaye pia ameajiriwa au anashughuri za kumwingizia kipato?
nashukuru sana kwa faraja,mungu akubariki na azidi kukujenga zaidi katika kufundisha maana hawajui waandikayo fadhiri za mungu,rehema za mungu na huruma zake na ziwe juu yao watu kama huyu.
nashukuru kwa ushauri wako ni mzuri sana lakini wapo wenye vvu kama mimi na wenyeenye wajukuu hao ndo ninaowatafuta wanahitaji kuishi na mke kumbuka nasi ni binadam
Umri wangu miaka 41 nina shughuri binafsi za kuniingizia kipato, naye pia awe mwajiriwa au shughuri yoyote halali ya kumwingizia kipato.Umri wake miaka 45-60 alitayari aniPM KWA WALIO SERIOUS TU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.