ZZK ni mnafiki mkubwa huyo,haaminiki kabisa si alisema anawajua walioficha mabilioni Uswiss?,mbona hajawataja naye ni fisadi tu,Dogo kambi ya RA Na EL.Hum kuna Uzi unamzungumzia mdogo wake na RA ndiye sembe LORD.Katumwa huyo poor ZZK.
Hoya do nimekubali wewe mwe zangu,shule Kama jeshini,!!Mimi niliitwa na Mzee Mwaipopo akaniambia hawa vijana wa Tambaza wangalieni hii ni Iyunga.halafu nikamaliza wengi walirudi mjini,akabaki Dogo mmoja Nigga ingawa sio peke yake Dogo Mwisho nilionana nae alikuwa na TIB
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.