Recent content by tiku

 1. T

  Nakufa naombeni msaada

  Unaupungufu wa madini chuma meza dawa inaitwa fefo utaacha kula udongo
 2. T

  Natafuta dawa inaitwa naloxone

  ugonjwa wa tumbo nimepona lkn mwili unatenheneza maumivu flan ambayo yanasumbua lkn nikimeza tramadol ndo yanaacha na nisipomeza nakuwa kama mgonjwa wa malaria ambayo ni kali ,
 3. T

  Tramadol caps naipenda sana

  ndugu yangu nakushauri acha labla hayajakukuta yaliyonikuta. tramadol sio nzuri kabisa mwenzio nimepata dependance inasumbua sana unaamka asubuhi kama una homa lkn ukisha meza tu unapona sasa kuwa makin sana . afu kuna kipindi yenyewe inakuletea homa inayengeneza sumu flan mwilin inakuwa kama...
 4. T

  Msaada Kipimo gani huonesha magonjwa mengi au yote mwilini

  hapo naona kama u.t.i fanya culture na sensitivity . uti inasababisha maumivu ya kiuno , na juu kwa mabega . kivhwa utosini
 5. T

  Habari wadau nimeathirika na tramadol yani niko tramadol dependant

  Naomba madaktari wanaojua waweze kunisaidia maana nahisi naweza kuharibu figo au ini
 6. T

  Natafuta dawa inaitwa naloxone

  Nilikuwa na matatizo ya tumbo sasa nikawa natumia tramadol hivi nimepona lile tumbo nimeshindwa kuiacha tramadol nikiacha nakua mgonjwa sana sana sasa nimeambiwa naloxon ndo yaweza nisaidia kuacha
 7. T

  Natafuta dawa inaitwa naloxone

  Habari wana jf natafuta dawa hiyo hapo mimi ni muhanga wa tramadol niko dependant so dawa yaweza nsaidia ni hiyo lakini Tanzania hamna zipo kenya au uganda. ila kuna baadhi ya pharmacy zipo sasa natafuta anaejua anisaidie nizipate.
 8. T

  Habari wadau nimeathirika na tramadol yani niko tramadol dependant

  Nimefatilia kwa madaktari wengi nimeambiwa hiyo ni addiction ya tramadol na inapona kwa dawa ya Naloxone sasa hapa Tanzania haipo hadi Kenya au Uganda.
 9. T

  Rachel Temu nani haswa?

  Huyu ni mdogo wake hoyce temu miss tanzania miaka flan ,ni mchambaji instagram ,alijipatia umaarufu baada ya kuingia bifu na mange kimambi na kuanza kutoleana siri zao.anaishi na baba mmoja mfanyakazi wa unhcr kenya wanaishi nairobi huyo baba ni mzambia na ni mtumzima ni kama anafamilia kwao...
 10. T

  Msaada wa kutengeneza simu

  Ndugu wanaJamiiForums heshima kwenu. Nilinunua simu ya Sumsung Galax S8 ambayo ni hizi wanaita T-Mobile. Sasa simu ina line 2 lakini inatumia line moja kipart kingine cha kuweka simu hakisomi, 2G na 4G ndo inafanya kazi lakini 39 haifanyi kazi japo inashika ila ukitaka kutumia mtandao...
 11. T

  Wapi naweza kupima ugonjwa wa lupas

  Habari wana jamii, Naomba msaada wa kujua wapi naweza kupimwa ugonjwa wa lupas maana ninashida moja inanitokea mwilini sasa nimemsikiliza dada mmoja hajrati mwenye ugonjwa wa lupas naona kama namimi ni wenyewe lkn nataka nipime kwanza ni wapi kwa dar naweza pata kipimo hicho.
 12. T

  Habari wadau nimeathirika na tramadol yani niko tramadol dependant

  Nilikuwa natumia kwajili ya maumivu ya kiuno sasa nikatumia muda mrefu kumbe haitakiwi mtu kutumia zaidi ya siku 7. Sasa mimi nilitumia muda mrefu wakati natibiwa kiuno, kilivyo pona nikajaribu kuacha nikashindwa kila nikiacha maumivu ya mwili yanakuwa makubwa nilipoenda hospital nikaelezea dr...
 13. T

  Habari wadau nimeathirika na tramadol yani niko tramadol dependant

  Naomba msaada nisaidiwe jinsi ya kujitoa kutumia tramadol. Yani nisimeze tena na niwe mzima
 14. T

  Habari wadau nimeathirika na tramadol yani niko tramadol dependant

  Naomba msaada mwenye kujua jinsi ya kujitoa nisiendelee kutumia tramadol
 15. T

  Habari wadau nimeathirika na tramadol yani niko tramadol dependant

  Habari viongozi mimi ni mwanamke wa miaka 40 hivi kuna kipindi niliugua sana kiuno nikawa napewa tramadol nikawa nasikia nafuu kubwa sana. Sasa nimekuwa deoendant siwezi kumeza tramado saivi nameza hadi vidonge vinne kwa pamoja ndo zinafanya kazi. Bila hivo siwezi kufanya chochote bila kumeza...
Top Bottom