Recent content by Tikrit

  1. T

    Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

    Alisha R.I.P 2021 au 2022 hivi, FULL DOZ MTU KAZI. full kutoeleana bastola na mkuu wa wilaya hadi anko Magu anaingilia kati
  2. T

    Makato ya HESLB: Rais Samia tunaomba mrudishe makato ya 8%, pia yazingatie sheria ya kubaki na 1/3 ya basic salary

    Sidhan kama tupo humu kuoneshana nani anajua sana, lengo ni kuoneshana njia zinazoweza hilo tatizo kutatuliwa, kwani wengine mwajiri wao amewasaidia kuondokana na hilo janga la kubambikiwa deni la HESLB ambalo halina uhalisia, kuna watu walikuwa wanakatwa badala ya deni kupungua ajabu likawa...
  3. T

    Makato ya HESLB: Rais Samia tunaomba mrudishe makato ya 8%, pia yazingatie sheria ya kubaki na 1/3 ya basic salary

    Sijatetea kitu na kweli inawezekana sijui kitu lakini Nadhani hujanielewa vizuri kuhusu nafasi ya mwajiri kwenye makato yoyote unayokatwa kwenye mshahara wako. Wengine tulikuja kupata muafaka baada ya kutishia kumshtaki mwajiri na bodi mahakamani ndio taarifa zikakaa sawa, mana mtu unakatwa na...
  4. T

    Makato ya HESLB: Rais Samia tunaomba mrudishe makato ya 8%, pia yazingatie sheria ya kubaki na 1/3 ya basic salary

    Bodi hawakati hela, hela inakatwa na mwajiri wako halafu ndio inapelekwa bodi
  5. T

    Makato ya HESLB: Rais Samia tunaomba mrudishe makato ya 8%, pia yazingatie sheria ya kubaki na 1/3 ya basic salary

    Bodi hawakati hela ya mtu, hela anakata mwajiri wako halafu ndio anaipeleka HESLB, wewe banana na mwajiri wako akupe hela yako ambayo amekukata bila utaratibu
  6. T

    Inakuwaje waandishi wa Biblia waliendelea kuandika hata baada ya kufa? Mtu kafa na kuzikwa halafu bado anaendelea na simulizi

    Kwahiyo wewe leo ukiandika kitabu kinachomuhusu Nyerere na kukiita Nyerere utakuwa Nyerere ameandika akiwa kaburini, Biblia ni simulizi ya matukio mbalimbali yaliyotokea kwa waisraeli/agano la kale na simulizi za matukio baada ya Yesu kuzaliwa(maisha ya YESU)/agano jipya
  7. T

    Vijana wa Kikristo tujitahidi kuhudhuria walau hata jumuiya

    Unaongea kitu hukijui kuhusu ukatoliki, hujui mtiririko wa mafundisho yao, ibada/misa ya jumapili imetengwa kwa makundi ya watoto na watu wazima ambao wanaingia tofauti, kuhusu mafundisho mahususi ya rika, ndio kuna hao UTOTO MTAKATIFU/WATOTO, VIWAWA/VIJANA, UWAKA/WANAUME, WAWATA/WANAWAKE, N.K...
  8. T

    Vijana wa Kikristo tujitahidi kuhudhuria walau hata jumuiya

    Kama ndio hivyo hawa wasabato hawawafikii wakatoliki kwa kuwa na vikundi vingi, mana kuna WAWATA, VIWAWA, KIPAPA, UWAKA, MOYO MTAKATIFU WA YESU, KARISMATIKI, DON BOSCO, REJIO MARIA, ni vingi kuvitaja vinavuka 100
  9. T

    Nifanyeje kwa hili na huyu rafiki?

    Zambia huku unaiona Msumbiji, bila shaka hicho kijiji kipo angani, kuna mahali umesema upo Chunya, sasa Chunya na Zambia zinapakana wapi? Chunya na Msumbiji zinapakana wapi? Siku nyingine unapokuja na stori uwe na ATLAS pembeni
  10. T

    Utofauti wa majina yangu kwenye vitambulisho umepelekea nishindwe kupata mafao yangu, nifanyeje?

    Madhara ya kuandika majina mtu anavyojisikia ni kubwa sana, utakuta mtu kila document kuna majina yamepishana halafu ukimuuliza anakupa majibu rahisi tu, mara hili niliandika majina ya upande wa mama hapa niliandika majina ya babu halafu analazimisha aeleweke, watu wanatumia mwanya huohuo...
  11. T

    Mimi mkataa ndoa naangamia rohoni: Nishaurini ili nipone

    Biashara inaweza kukupa moyo miaka mitano ya mwanzo lakini baada ya hapo ikakupiga mbaya. Nakuunga mkono kuhusu suala lako la kuacha kazi lakini sio leo, sidhan kama biashara yako imesimama kiasi kwamba ikitokea umeumwa miezi 6 biashara haiyumbi. Biashara moja sio ya kuacha kazi. Sidhan kama...
  12. T

    Ni lazima sasa Tundu Lissu afike Jimbo la Kyela

    Na muache ukabila, 2015 mlipoteza ubunge kisa tu mgombea wa chadema alikuwa mkisi, watu wakamchagua mwakyembe sio kuwa wanamtaka bali ni mnyakyusa mwenzao
Back
Top Bottom