Recent content by tikitaka men

  1. tikitaka men

    Rais Magufuli: Baadhi ya Mawaziri katika Serikali yangu ni Wapumbavu

    upumbavu sio kauli mbaya,upumbavu ujielewi,mbona mtahani ndi kauli zetu acha upumbavu,yupo sawa muheshimiwa
  2. tikitaka men

    Doctors Vs Engineers

    Ukikubali heshima imepatikana
  3. tikitaka men

    Doctors Vs Engineers

    MEDICINE MZIKI MWENGINE NYIE VIJANA
  4. tikitaka men

    TCU yatoa ufafanuzi kuhusu uhakiki wa wanafunzi

    Unashukuru kwa tangazo ilo unajifanya unajibu jeuri pengine ulilia sana baada ya kutajwa
  5. tikitaka men

    TCU yatoa ufafanuzi kuhusu uhakiki wa wanafunzi

    We ni miongoni mwao ambao hakuelewa na inawezekana ulikuwemo kwenye listi si kwa povu ilo@Aaron utakua uliguswa wewe
  6. tikitaka men

    TCU yatoa ufafanuzi kuhusu uhakiki wa wanafunzi

    We ni miongoni mwao ambao hakuelewa na inawezekana ulikuwemo kwenye listi si kwa povu ilo.
  7. tikitaka men

    TCU yatoa ufafanuzi kuhusu uhakiki wa wanafunzi

    Haya tuwe makini na kuongea vitu tusivyovijua tcu hao wamefafanua
  8. tikitaka men

    Walinichagua vipi wakati Sina sifa? Aaah this is too much.

    Acha kuzingua fata maelekezo waliyotoa tcu,peleka vyeti ivyo.
  9. tikitaka men

    KIU medicine wako juu!

    Kipo poa tuacheni ushabiki nakufata mikumbo niliwahi kwenda pale kwakweli wapo juu
  10. tikitaka men

    Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

    watu hapana lala?si mchezo
  11. tikitaka men

    DODOSO LA HESLB LIMEISHIA WAP

    Acha uboya wewe(Julius hussein).
  12. tikitaka men

    Huu uvunjwaji wa mkataba wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu nchni usifumbiwe macho.

    Mwanafunzi yupo mwaka wa pili Au 3,4.......umempa mkopo kwa vigezo ulivyoweka Leo tena useme wamepata kimakosa how?nazani Kuna aja yakuacha vijana wasome kwasasa maana shule zenyewe Ni taiti then uanze kumpa stress za mkopo na kumkatisha masomo gafla tu kwakumchulia mkopo wake sio sawa...
  13. tikitaka men

    Kwa matokeo haya huyu mdogo wangu akasome kozi gani?

    Toa kichwa cha habari andika upyaaa Acha ayo mambo
Back
Top Bottom