Recent content by Tikamwamba

  1. T

    Uamuzi wa kujenga Majengo ya Serikali Dodoma ni Uamuzi wa Kipuuzi, wanaoshangilia ni wajinga

    Uamuzi huu ni wa busara sana na hizo changamoto unazosema ni za muda tu. Lazima tupunguze misongamano isiyo ya lazima Dar. Hata bandari tunahamishia KWALA. Hivi umeshatathmini hasara taifa linaloingia kwa siku hapa Dar kwa foloni. Hivi umeshatathmini namna uchumi wa dodoma unavyokua kwa kasi...
  2. T

    Rais Putin atembelea eneo la Kherson (Luhansk Region) kwa mara ya pili

    Lengo kuu la NATO ni kuidhibiti urusi kivita. Kwa maneno mengine kuiangusha kabisa urusi kijeshi. Walianza kwa kuzichukua nchi karibu zote jurani na urusi ikabaki UKRAIN. wakaishawishi nayo Ukraini ijiunge NATO ili mchezo uishe. Urusi akawaambia hapo mmevuka mstari MWEKUNDU. hivi hata ungekuwa...
  3. T

    SoC02 Nimefanikiwa kuwa Daktari kwa msukumo wa mama ambae ni kichaa, alibakwa akanizaa mimi

    Sina cha kusema zaidi ya kukuombea kila la heri katika maisha yako. MUNGU AKULINDE NA KUKUBARIKI SANA.AMINA Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
  4. T

    NEC igeni Mfano wa IEBC ya Kenya

    Nina wasiwasi kama kweli hii tume ilikuwa huru. Mwenyekiti wa tume Chibukati kabla ya kutangaza matokeo kulikuwa na mikiki mingi. Kati ya wajumbe 7 zaidi ya nusu hawakukubaliana na hayo matokeo kwa sababu ya irregularities lakini akaamua kutangaza bila makubaliano na wenzake ambao ndo wengi...
  5. T

    Kenya2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    It might be so. Ila ikiwa hivyo na kama kampeni zitaruhusiwa, hao wagombea wawili wa mwisho watakuwa LULU kwani huenda wafuasi wao wakatoa deciding votes kwa hiyo Raila na Ruto watawagombea kutaka uungwaji mkono kutoka kwa wafuasi wa hao wagombea wawili wa mwisho (waihiga na Prof Wajackoyah)...
  6. T

    Kenya2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Ni dalili za kujihami??? Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
  7. T

    Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

    Kaka ubarikiwe sana kwa andiko hili. Watakaobahatika kusoma mpaka mwisho wakazingatia, hakika watafadika. Mimi ni shuhuda wa hili. Niko 55, nilipokuwa 40 niliyumba kidogo performance yangu ya ndoa haikuwa nzuri kiviiile kwa sababu ya pombe nyingi na kubugia misisi bila utaratibu. Ilipogonga...
  8. T

    Nigeria yatishia kujiondoa ECOWAS kwa madai ya Kunyimwa nafasi za ajira

    Hivi mzungu na mwafrika nani kawekewa akili nyingi na Mungu??? Je ni huyu wa kutengeneza upinde na mishale kwa ajili ya vita na mahitaji au huyu wa nyuklia???. Hivi kila mmoja akitumia silaha yake na kwa Bahati kukawa na Manusura, then ukawzuliza hao manusura kuwa NANI MWENYE AKILI KATI YA...
  9. T

    Bashe: Hifadhi ya taifa ina Chakula cha kutosha hatutazua Wakulima kuuza mazao nje ya nchi, serikali itadhibiti Mfumuko wa bei

    Naunga mkono hii hoja, ni mara ya kwanza wakulima wanapata bei nzuri kipindi cha mavuno. Miaka yote wakulima bei zinakua ndogo wakati wa mavuno na wenye fedha hununua na kuhifadhi ili bei zikipanda wafaidi. Safari hii bei zimepanda wakati wanavuna. Acha nao wapunguze makali ya bei ya mbolea...
  10. T

    Ni wakati sasa kwa Serikali kuzuia uuzwaji wa mazao ya chakula nje ya nchi

    Suala la kuzuia uuzwaji chakula nje ya Tanzania tulishamalizana nalo. Serikali isirudie tena hilo kosa hata kama kuna uhaba wa chakula. Wacha wakulima wauze sehemu wanapopata bei nzuri kwani mbolea imepanda bei sana. Wasipopata bei nzuri kipindi hiki cha mavuno, hawataweza kununua mbolea msimu...
  11. T

    Putin destroys Boris Johnson and plots the collapse of Britain

    Tutajua mengi sana kutokana na huu mgogoro. Tuombe tu isitupeleke kwenye vita ya tatu ya dunia kwani kwa teknolojia za silaha zilizopo duniani kwa sasa, MADHARA HAYATAELEZEKA Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom