Recent content by Tibo

  1. Tibo

    Nilichokikuta ukweni imebidi nimsamehe mume wangu

    Maisha yako hivi ukiwa unamsaidia mtu siku zote usiwe jibu LA matatizo yake Bali onyesha njia ya kutoka katika tatizo hapa namaanisha hivi kama kwenu wamekosa chakula usipende kununua chakula maana baada ya mda kitaisha. Bali we nunua shamba na majembe wawe wanjilimia na kupata chakula maana...
  2. Tibo

    Marekani wadai Uchaguzi Mdogo wa Agosti 12, 2018, uligubikwa na matukio ya fujo na ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi

    Marekani haipaswi kuingilia masuara yetu nyinyi mtakubali kutawaliwa mpaka lini tunapaswa tujitetee ss wenyewe
  3. Tibo

    Wapi nitaweza kupakua tamthilia ya 'into the bad lands'?

    Download app inaitwa vidmate ipo Google
  4. Tibo

    Msaada mwenye kujua applications nzuri za kuedit picha

    Ninaitaji msaada mwenye kufahamu application nzuri sana ya kuedit picha
Back
Top Bottom