Recent content by tibakula mihayo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ahsante Rais Magufuli, kwa ukame huu, tungeshatangaziwa mgao wa umeme

    Kwa hapo nampongeza mh.raisi jpm
  2. T

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji fanyeni msako makampuni yote IPP, Azam, Quality, Mahoteli ya Utalii, Migodi na Barabara

    Wasisahau na kwenye mashule y a private haswa pale Serengeti- twiboki
  3. T

    JamiiForums Tanzania TARIME: Shule imeajiri wakenya ambao hawana vibali halali vya kufanya kazi Tanzania

    Ni kweli hili tatizo la kuwaficha wakenya wakija watu wa uhamiaji kufanya kazi yao huwa wanafichwa au kuondolewa kwenye list ya walimu wahusika Mimi ni mhanga na nilishawahi kufukuzwa kazi katika shule Moja ya private hapo mgumu Serengeti kisa uhamiaji kuniuliza idadi ya walimu waliopo na kutaja...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu afuta posho kwa watumishi wa umma nchini

    HIVI WANYONGE HAPA TANZANIA NI WATU WA AINA GANI,JE NI WALE MAMA NTILIE,WASIOAJIRIWA NA SERIKALI, AU WALE WALIOKO MASHAMBANI HAPO SIJUI MSAADA
  5. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Namshukuru Waziri wa Nishati na Madini kwa kutengua upandishaji wa bei ya umeme

    huyu nahisi anataka 2025 awe raisi
  6. T

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma: Kutoka Sekretarieti ya Ajira

    mbona sijaelewa hapo mkuu kwa hiyo hayo majina wamefuta au?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha sita

    Ingia zoomtanzania
  8. T

    JamiiForums Tanzania HR Vodacom wekeni wazi ajira zenu

    Hangers sana
Back
Top Bottom