Patachimbika hapo, wataanza kulalamika wale wataka mabasilikoSo ndugu walim, hawatapewa posho za kusimamia mitihani?
Na je Lini serikali itafuta POSHO ZA VIKAO VYA BUNGE?Lini?
Hata mm sielewi,kama hazitambuliki kisheria kwann zinalipwa? Kumbe inaruhusiwa kufanya jambo lisilotambulika kisheria?Mdau Posho as Posho hazina tija,kuna kada hapa hata utoke nje ya kituo kisheria bado posho hupewi,na ingawa zipo kisheria.
Nchi moja,mkoa mmoja,kazi moja,halmashaur moja na posho hampewi
Lakini hata hivyo makasisi, wazee wa kanisa, manabii, maaskofu n.k. hawatakiwi kupokea mishahara, kama wanapokea ni kimakosa, kwa hiyo makanisa yataenda tu, na injili itasonga mbele hata bila fedha.Haki ya Mungu ndo ile kauli ya Rais kua tutegemee mpaka kanisani ela kukauka...uwiiii
HIVI WANYONGE HAPA TANZANIA NI WATU WA AINA GANI,JE NI WALE MAMA NTILIE,WASIOAJIRIWA NA SERIKALI, AU WALE WALIOKO MASHAMBANI HAPO SIJUI MSAADAMkuu Kassim Majaliwa amefuta rasmi posho zote za watumishi wa Umma na kuelekeza posho hizo kufanyiwa miradi mbalimbali ya Maendeleo katika Halmashauri husika nchini.
Waziri Majaliwa ametoa agizo hilo leo 3 Januari 2017, katika ziara yake iliyofanyika Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam.