Recent content by tiba mbadala

  1. T

    Kutoka viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

    Pumzika kwa amani dada Regina, familia inakulilia, vijana wanakulilia, kina mama wanakuilia, kina baba wanakulilia, watoto wanakulilia, marafiki wanakulilia, chama kinakulilia, hakika hatutakuona tena ila tutayashika uliokua unatufundisha, upumzike kwa amani dada yetu mpendwa Regina,
  2. T

    Picha: Ibada ya kumuaga Regia Mtema iliyofanyika Tabata

    Upumzike kwa amani dada regina, tutayashika na kuyaishi mazuri toka kwako, tuko kwenye njia moja, upumzike kwa amani bwana ametwaa jina lake libarikiwe r.I.p Regina (1980-2012)
  3. T

    Wenje asambaratisha CCM Sengerema

    That politics, but it is hard to believe if a reasonable man with a sound mind can acknoledge anything delivered by mr ngeleja!
  4. T

    Dkt. Mwakyembe mambo mazito: Ripoti ya ugonjwa wake yaivuruga Serikali

    Yapata mwezi toka arejee kwenye matibabu nchini India, wakati akiwa India yeye pamoja na viongozi wengine waliokua wakitibiwa tuliweza kupata taarifa za maendeleo ya afya zao lakini toka dr mwakyembe arejee kimya kimekua kingi sio wizara ya afya ambao wameweza kuzungumzia afya ya kiongozi huyu...
Back
Top Bottom