Recent content by Ti Go

  1. T

    JamiiForums Tanzania Polepole - Hii kauli yako umeitoa wapi kwenye Biblia?

    Kwa sababu alitubu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Polepole - Hii kauli yako umeitoa wapi kwenye Biblia?

    Yes. Na kama dhambi zote zinasamehewa, hakuna atakayeingia motoni!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nini hutoa baada ya mtu kuzikwa

    Siyo kweli. Mtu akishafukiwa kule chini hakuna hewa na hakuna mdudu anaweza kuishi. Hivyo mwili ukauka na kubaki ulivyo. Uliza wanaifukua makaburi!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli gesi ya kupikia nchini Cuba inauzwa TZS 2,000? – Uchambuzi wa kitaalamu

    Kuna kauongo umesema, mshahara m-cuba ni 4,648, alafu atawezaje kununua gas kwa 35,000?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hii mikwaruzano ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam?

    Wewe itakuwa mgeni wa nchi hii au ni mdini. Tafuta waraka wa maaskofu kwa serikali. Mpaka maaskofu wengine Wakanyanganywa passport.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tabia ya CCM kutaka kuua upinza wa vyama vingi ndiyo itakuwa kifo chake

    Tuliwambia siku nyingi kuwa tabia ya CCM kutaka kuua upinzani ndiyo itakuwa chanzo cha kifo chake. Duniani mpaka mbinguni upinzani ni muhimu. Ndiyo maana hata Mungu alimuacha shetani aendelee kuwapo kama mpinzani wake. Kwa nguvu tunayoamini anayo Mungu alikuwa na uwezo wa kumaliza shetani...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hekalu la Job Ndugai kweli siasa inalipa, nimejiona masikini kweli

    Shida hawaridhiki!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mkaa na kuni yanaua Watanzania wengi kuliko UKIMWI

    Kama ana huruma na akina mama, basi apunguze Bei ya gas. Mitungi wanayo wengi na ipo nyumbani wanashindwa kujaza gas.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Utapeli: Anayetembelea V8 na LC 300 achukua fomu kwa corolla

    Byabato atawadaganya wahaya.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wanasheria Mnisaidie, Kwanini hii Kesi ya Uhaini Haikufunguliwa Mahakama Kuu, ikaja Kufunguliwa Mahakama Ya Kisutu

    Kwani haiwezi pigwa tarehe ikiwa mahakama kuua?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya TAIFA uchaguzi haupaswi kuwa HURU

    Kama ni hivyo kwa nini basi uitishwe Uchaguzi unaosimamia general election na kupoteza hela za walipa Kodi? Kwa nini watoke kwenye chama kimoja?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wakubwa zangu kipindi mapanga ya mauaji ya kimbari yanapita mpaka kufika Rwanda hamkuweza kuhisi chochote?

    Kwani nchini kwetu karibia familia zote si zina panga. SI kwa ajiri ya kupigana bali kazi za kukata kata.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yafyeka mishahara ya watumishi

    Badiri (edit) wewe mwenyewe. Kwenye raw ya chini Kuna neno edit, bonyeza hapo
  14. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Jenista agawa Ng'ombe 16 na Mashine 48 za kusaga na kukoboa Mahindi jimbo Peramiho,Je?hii sio rushwa ya uchaguzi

    Kwa nini hakufanya huko mpaka asubiri karibia na Uchaguzi? Takukuru mko wapi?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Suluhisho la Msongamano wa Magari Jijini Dar es Salaam

    6. Usafiri wa binafsi uwe discouraged kwa kuongeza/kupandisha packing fees
Back
Top Bottom