Ukuliza hivyo na mimi nukuulize ulikuwa wapi siku zote kwa kukwepa sheria. Kulingana na Sheria ya Ardhi kuna sehemu ili uweze kutumia ardhi lazima umilikishwe kisheria-"any urban land must be granted"
Marryan usianzishe ugomvi wa mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo. KwanZa Azimio la Arusha mlishaliua pili muangalie Mkuu wako wa Kaya. Atapona kwa mtaji huo?
Ni kweli kabisa. Ni vyema kuchambua na kufanya maamuzi yenye kuleta tija. Miaka mitano ilikuwa ni ya reformation pamoja ni vikwazo tulivyokuwa tunashuhudia kitoka Serikali tawala
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.