Recent content by Ths Is Me

  1. T

    JamiiForums Tanzania HUU NDIYO UTENGENEZAJI WA MOVIES WANAO UFANYA MWENZETU (BEHIND THE SCENE)

    True Story........[emoji404]
  2. T

    JamiiForums Tanzania JIFUNZE KUPITIA PICHA ZINA MAANA GANI!!!

    Wanasema wasanii hasa wachoraji picha moja inaweza beba ujumbe mkibwa /maneno zaidi ya elfu moja.Chukua muda kujifunza kupitia picha hizi nini maanake...... Truee Story...[emoji404]
  3. T

    JamiiForums Tanzania Njoo tujadili namna ya kutengeneza zaidi ya mil 100 ndani ya mwaka mmoja

    Kam sjaelewa hiviii hayo maelezo hayapo wazii
  4. T

    JamiiForums Tanzania Anaomba nizame chumvini, inaniwia vigumu

    Haaa haaa haaa haaa haaa mshaurii usafii tuu kitu ioshwee vzuri kazoea hiyo michezo
  5. T

    JamiiForums Tanzania Anaomba nizame chumvini, inaniwia vigumu

    Zama kabla hujakimbiwa kaka mkuu maana hawa mademu zetuuu mmmmh
  6. T

    JamiiForums Tanzania Huna haja ya kukata tamaa kwa kuangalia picha hizi

    Yaaaap fikiria hivyo kaka Mkuu kama mlemavu anafanya hivyo je ww mzima ?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Huna haja ya kukata tamaa kwa kuangalia picha hizi

    Hilooo ndyo swali kubwa unalotakiwa kujiuliza
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ama kweli nabii hakubaliki kwao! Tazama Rayvan na Harmonize walivyopokelewa Burundi

    Revolution tuliteke soko la Bongo movies kimyaa mnoo bongo movies
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ama kweli nabii hakubaliki kwao! Tazama Rayvan na Harmonize walivyopokelewa Burundi

    Tuanzishe sasa mimi na ww kaka
  10. T

    JamiiForums Tanzania Heshima kwa wanaume wanaotimiza majukumu yao

    Na mimi nipo bhanaaaaa ni MWANAUME
  11. T

    JamiiForums Tanzania Huna haja ya kukata tamaa kwa kuangalia picha hizi

    Kila binadamu anakutana na changamoto nyigi sana katika maisha yake ya kila siku lakini kumbuka kutokukata tamaa kwa kila jambo unalolipitia au kutaka jambo fulani. True Story....[emoji404]
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya hizi picha?

    Upo sahihi kabisaaa kaka mkuu safiiii sanaaa
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya hizi picha?

    Kaka nina picha tu link sina
  14. T

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya hizi picha?

    Kaka Bavaria hii ya tatu ina maana kuwa Mawazo yako (kichwa) yanaweza kukufanya mfungwa yaani ukiwa na fikra (mawazo finyu ) basi ww nimfungwa kutokana na mawazo yako mwenyewe
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya hizi picha?

    Kaka Mkuu hiyo ya kwanza ina Maana kuwa kuna watu Masikini wana lima na kupanda Mpunga kwa tabuu ni hao walio inama wamevaa kofia lakini kuna watu wanauchezea ndiyo hao mabibi harusi wanarushiana mchele
Back
Top Bottom