hakuna haja ya kumfukuza bali unatakiwa ujue dont argue with a fool people might not differentiate, kagame sio nchi ya Rwanda bali sisi tunahitaji kuendelea na ushirikiano na Rwanda yeye atapita kama alivyoikuta Rwanda na sisi Tz ndio kiini cha ukombozi Africa na ni chanzo cha muungano ambao ni...
Unautaalamu wowote au ukaribu na mambo ya army au tu unapenda kudharau nchi yako kama wale wwasemao bora angekua mbwa ulaya kuliko kuwa rai africa! sio kila kila kitu ni politics jaribu kupima maneno yako sijui kama unaelewa hata top ten ya African Strong Army kuwa Tanznia ni no. 6 kwa takwim za...
kwa kweli hayo majibu uliyomjibu huyo jamaa anayekataa bila evidence yanaonesha wewe ni great thinker ni kweli mtu mwenye mawazo yake anafikiria kwa kadiri anavyoweza kuoa kuwa yuk sahihi ila kama ni mwelewa anaweza kujibu kama Jwtz huwa wanafanyia mafunzo uwanja wa Taifa au barabarani ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.