Sidhan kama TLS wanagombea kwa VYAMA...au moja ya kigezo cha kugombea uraisi lazima uwe mwanachama Wa chama flani...Mtoa mada si kila chaguzi huhusishwa na VYAMA.kwa huu Uzi hakika UMEKURUPUKA.
Nijambo ambalo laweza kufanyika kwa simple logic tu nayo ni hivi.
Mheshimiwa anania njema na nchi hii na anafanya mambo mengi mazuri ikiwa nipamoja na maendeleo..sasa aweza kufanya hivyo ili kupata katiba bora itakayo linda yote mema yaliyofanyika..na kuepusha kurud tulikotoka.
Kwa mujibu ya wanasayansi na wanageographia...JUA huchomoza mashariki na kuzama maghalibi....na kujua mashariki ni wapi kwa hapa dar ni upande bahari ya hindi iliko...and magaribi ni opposite .
kwa uelewa zaidi juu ya jambo hili angalia ramani na picha za satellite kwenye google map.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.