Ndoto yako ina ujumbe mzito sana wa kiroho na kihisia, na ni ya aina ya utakaso, kuachilia mizigo ya ndani, au mabadiliko ya kiroho. Japokuwa kiuhalisia tendo la kujisaidia kinyesi linaweza kuonekana kama aibu, katika ulimwengu wa ndoto za kiroho lina maana ya kuondoa uchafu, mizigo, au mambo...
Ulisikia wapi service ya engine ya gari inafanywa kwa maombi? Badala ya kufungua ……… ndicho tunacho kifanya sisi nchi hii ina hitaji mabadiliko ya kimfumo na cyo maombi na hichi kinacho endelea hapani kampeni na hawa wanaojiita watumishi wamesha ingia kwny mfumo
Tena nimekuja kugundua hawa tunao waita viongozi wa dini , viongozi wa taasisi mbali mbali , ma profesa wamekuwa watu wa hovyo kweli kweli akili wameziweka kando ni mwwndo wa kusifia ujinga kweny redio na tv ndo usiseme , ni hasara kwa taifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.