Recent content by thomasisack

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kubenea, njoo uone barabara zako za Sinza

    Kwa mtazamo wangu mbunge ni mwakilishi wa shida zetu na changamoto zetu mtatuaji ni serikali zaidi pale itakaposikia ile kero namaanisha serikali kuu lakini pia pale fungu la kutatulia hiyo changamoto likifika jimboni mbunge anatakiwa kufatilia kujua linaendaje hilo fungu.Kwa maana hiyo mbunge...
  2. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

    Wafiwa poleni sana kwa msiba huu mkubwa wa wapendwa wetu hao tumepoteza Mawaziri,madaktari na manesi watu wenye ndoto Kubwa kwa ujenzi wa Taifa bdae Mungu aturehemu na kutupa faraja ya kweli
  3. T

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za shuga mama kwa vijana wadogo

    Kiujumla hakuna faida hata kidg kuwa na mahusiano na mimama mikubwa zaidi ya kupata laana,mikosi na ulemavu mkubwa wa akili tusijipe platform na kuona it is OK kufanya hivi.Hilo linakuja km matokeo ya kupotea kwa uadilifu ktk jamii baaaaaaAsi na kingine vijana tuache vitonga tupige kazi tu.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Poll ya online ya Gazeti la Raia Mwema yamuweka pabaya Magufuli

    Me nadhani muda ndo wenye majibu sahihi zaidi
Back
Top Bottom