[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani pamoja na kujaza vivutio, madini, bahari na maziwa, ardhi yenye rutuba na nguvu kazi.... Bado unapenda kuona bibi yako anaendelea kukukamua na huna unachotumia kwa bure[emoji28]
Unalipa kodi
Unalipa bima
Unalipa ada
Unachangia miradi (TOZO)
Lakini hakuna...
Unatuandikia sisi ambao tupo tayari kuchangia ziara za rais na wasanii Dubai huku tukishindwa kumudu gharama za matibabu?
Sisi ambao tupo tayari kushinda juani tukiipongeza serikali na CCM huku tukilalamikia gharama za chakula km sukari, mafuta, mchele?
Sisi ambao ndani tunalalamika ufisadi...
Watanzania ni wasahaulifu sana[emoji35]
Ina maana huyu mtoa mada kasahau kwamba mwaka 2015 kurudi nyuma shule zote za sekondari zilikuwa za kulipia?
Anasahau kwamba shule zote iwe serikali au binafsi zilikuwa na ada na michango mingine...na ... Hiyo maana yake n kulipia?
Au bado anamezwa na...
Gesi imepanda huko!
Unalijua hilo[emoji2957][emoji2957]
Next year Inafikia bei ya petrol na inachimbwa hapahapa[emoji1787][emoji1787]
Endelea kusodoa, lakini naiona chadema kuendelea kukupa info za ufisadi ndani ya serikali yako pendwa ambazo hutazipata ndani ya chama chako[emoji1783][emoji1783]
Gari linajitangaza lenyewe
Nunua ndinga ya bilioni huko upite nayo kitaa, kila mtu atataka kujua wew n nan
OK! Kwa kuwa maisha n kuchagua, hao huchagua upande huo na si ulimbukeni
Sikubishi, lakini tuone hapa pia[emoji116][emoji116]
[emoji117] Hakuna kilimo (estate) ambacho hakitahitaji ukatwaji wa miti, unless kiwe kilimo cha kujikimu
Hivyo bangi kuhitaji eneo kubwa ni sawa tu na korosho, ufuta, kahawa n.k
[emoji117] Watu kuegemea zaidi kwenye bangi na kuacha mazao ya...
Nafikiri kila mtu aijenge familia yake kwenye misingi anayoona inafaa
Tunakatazwa zinaa, hatufanyi?
Tunkatazwa uvivu, hatushindi tubet?
Tunakazwa wizi, hatuibiani?
Vijana wangapi leo wanakula tigo?
Video ngapi za ngono zinavuja, wanapelekwa wapi?
Linda familia yako ndug
Nchi, makanisa na misikiti vinakemea zinaa, lakini vijana mnakesha mkifanga zinaa
Nchi, makanisa na misikiti vinakemea uvivu, lakini vijana mnakesha mkibet
Hiyo n mifano tu
Sasa hata liwekwe bango kubwa angani la kukemea ushoga, bado mashoga na ushoga vitaendelea kuwapo
Juzi imevuja video ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.