Ni kweli Nyerere alifanya makosa makubwa, lakini wewe unataka kufanya makosa makubwa zaidi japo nia yako ni nzuri. Itakuwa jambo la ajabu kuwa na serikali tatu kwa nchi mbili ambazo hazina uwiano wa kweli wa rasilimali za aina zote! Je, wewe unaogopa nini, kusema kwamba Muungano ufe. Wenzetu...
Zito Kabwe, kweli ana haki ya kugombea urais lakini anatakiwa apime hali halisi iliyopo, sababu bado amezungukwa sana na mazonge ya kutoaminiwa na wana-CHADEMA(wazalendo wa taifa hili). Ajipe muda labda baada ya mwaka 2015!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.