Recent content by Thomas Alva

  1. T

    Manji: Nchi yangu hainithamini

    Acha dharau na upotoshaji! Sio kweli kwamba wahindi na waarabu ndio wanaendesha uchumi wa Tanzania. Kundi hili limepata upendeleo kwa muda mrefu,tangu kabla ya uhuru na kuchukua fursa zote kwa gharama za watanzania wazawa.
  2. T

    Rais Magufuli, Tanzania sio Dar pekee!

    Kweli wewe ni ibilisi! Hospitali ya Muhimbili ni hospitali ya Taifa siyo ya mkoa wa Dar es Salaam. Halikadhalika,barabara za Dar ni muhimu kwa ajili yetu sote. Msongamano wa magari Dar es Salaam unaathiri mikoa yote na nchi jirani zinazotegemea bandari ya Dar es Salaam.
  3. T

    Gerson Msigwa wa TBC aula Ikulu, apewa jukumu la kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano

    Msigwa anastahili. Walikuwa wamemubania muda mrefu. Ni mwandishi wa habari mwenye kipaji kikubwa. Hongera sana Msigwa.
  4. T

    Swali la Kimantiki: CCM wamuue Alphonce Mawazo kwa sababu zipi hasa?

    Shuhuda wako specific,ameuawa na green guard wa CCM, swali lako lina mantinki yoyote? Acha tabia ya kutetea mambo ya namna hii katika nchi yetu. Waliotekeleza uovu huu wanapanda mbegu mbaya mno katika jamii yetu!
  5. T

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Peleka huko upuuzi wako na Mwigulu wako. Usiingilie mamlaka ya Magufuli. Mwache apange safu yake bila mashinikizo. Acha kumpigia debe huyo mpuuzi mwenzio.
  6. T

    NEC: Idadi ya Wapiga Kura bara ni 22,751,292 na Zanzibar ni 503,193

    Tumia akili angalau hata kidogo! Lubuva ni mwenyekiti wa tume,ndie msemaji wa tume. Kikwete hawezi kuwa msemaji wa tume. Takwimu za Lubuva ndio rasimi.
  7. T

    Sheria ya mafao inasemaje kuhusu Viongozi Waziri Mkuu anapohama chama

    Kiinua mgongo cha waziri mkuu aliyestafu ni haki yake ya kikatiba na kisheria,siyo hisani,siyo msaada! Anastahili kulipwa bila kujali yuko chama gani cha siasa au hana chama kabisa.
  8. T

    Aliyekuwa waziri wa Elimu na mbunge wa Mufindi, Joseph Mungai ajiunga CHADEMA Leo

    Fikiri kidogo kabla ya kuposti! Hiyo mahakama ya mafisadi ikifunguliwa si wabunge wengi wa CCM wataishia jela! Vipi kuhusu kina Chenge,Mama Tibaijuka,Ngeleja nk na mgawo wa escrow? Au ndio watakaoanziwa kushughulikiwa. Ukweli ni kwamba ccm hawana utashi wa kushughulikia mafisadi. Wangekuwa nao...
  9. T

    Waziri wa zamani Lawrence Masha afikishwa Mahakamani, akosa dhamana

    Ni kweli kabisa. Hakuna sababu yoyote ya mtu muungwana kutumia maneno ya hovyo hovyo kama haya kujenga hoja yake! Hii ni aibu kubwa.
  10. T

    Nukuu za mwalimu Nyerere

    Bila shaka unakumbuka vilevile nukuu yake kuhusu kuwaogopa kama ukoma wale wanaokimbilia ikulu. Na kwamba ikulu ni mahali patakatifu.
  11. T

    UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha

    Nyinyi ChademaRichmond acheni kujilisha upepo. Habari ni JPM. JPM ni habari nyingine kabisa! Hakamatiki.
  12. T

    Madiwani wote wa CCM manispaa ya Tabora, leo wamehamia CHADEMA

    Acheni kudanganya Watanzania!! HAKUNA DIWANI YEYOTE WA MANISPAA YA TABORA ALIYEHAMIA CHADEMA. Mnatia aibu kwa uongo wa kiwango hiki! Walioko kwenye picha hii siyo madiwani wa Manispaa ya Tabora.
  13. T

    Madiwani wote wa CCM manispaa ya Tabora, leo wamehamia CHADEMA

    Acheni kudanganya watu! HAKUNA HATA DIWANI MMOJA WA MANISPAA YA TABORA ALIYEHAMIA CHADEMA. Kwa uongo wa namna hii mnathibitisha namna ambavyo hamtakiwi kuaminiwa.
  14. T

    Dr. Magufuli: Genius anayepambania urais

    Point tupu!! Mungu akubariki. Wewe ni miongoni mwa watanzania wengi wanaojitambua. Achana na hao vilaza,wanafikiria matumbo yao tu.
Back
Top Bottom