habari wanaJF samahani naitaji msaada kwa wenye experience kuhusu course yenye uwanja mkubwa wa ajira tokea chuo cha maji kati ya
1Water supply and sanitation Engineering the
2program Hydrology & Meteo rology 3Hydrology & Water Well Drilling 4Irrigation Engineering
5Water...
naona wanasisiemi wakijitaidi kumshutumu raisi wangu anaengoja kuapishwa kila kukicha na sababu zao za ovyo. sasa nasema nyie sisiemu katafuteni wa kuwabadiri akili matahaila mnaowapa flana za kijani,ubwabwa na buku tano per day na sio watu wanaojielewa na wenye uchungu na tanzania yao..
ni dhahiri mambo ni magumu kwa ccm jaman sasa tukutane jangwani kuna bonge la suprise pale jaman.. najua siku ile watu walifata burudani tu toka kwa kina diamond na wenzie sasa kampeni yenyew hipo kesho tukutane pale malofa na wapumbavu wenzangu!!!! haya tukaneni sasa mana ukiona baba anatukana...
magufuli anajimaliza kuyasema mauozo ya serikali ya mkwere kwa kujidai eti atalekebisha wakat na yeye yupo humohumo kwenye shimo la giza sa nashangaa kama anayanadi mauozo ya kaka yake swali ni je makamanda wa ukawa tuseme uozo gani wa ccm ikiwa magufuli kashakivua nguo chama chake???
magufuli lazima ajue kuwa kwa ilani na sera zake ni kumsimanga kikwete.. sa anapozungumzia madawa hospital,mikopo kwa wanafunzi na ufisadi hzo zote ni kero za serikali ya mkwere wake na yeye halikuwa anaangalia tu.. leo anajifanya heti atalekebisha ni uongo mtupu
hahahahahahahag... we ndo akili finyu we huoni watu wamefata show za fiesta? hapo kuna tamasha la wasanii na co kampeni... sijawai ona mzalendo wa ajabu kama wewe mana hata mzalendo wa jkt co mpuuzi hvo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.