Kuna mpare nlidate nae mwaka jana, ndani ya mwezi mmoja nkagundua ametuchanganya washikaji watatu tena marafiki. Baada ya mwezi tukaskia kagonganisha jamaa wengine wawili mapolisi. Yule demu alikuwa had anajitongozesha. Sina ham nao asee🙌
Kama Tittle inavyojieleza.
Mimi nipo Mwanza, tangu 2022 nilikuwa nafanya biashara ya usafirishaji, bahati mbaya nilipata changamoto zilizofanya niyumbe sana kiuchumi.
Hapa nimebakiza laki 8 tu nawaza jinsi ya kuanza upya ili niweze kuinuka tena.
Natanguliza shukrani.
Nchi za Waarabu zote zna maendeleo kuliko nyie ngozi nyeusi mnaojiona wenye akili kwakuwa sio waislamu. No Matter zilizopo Africa, Asia, Middle east au Eastern Europe. Na si ajabu hata Mama ako mchepuko ulokuwa una mhonga hela ulikuwa ni wa kiislamu👍
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.