Recent content by ThirdSnr

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Godbless Lema baada ya kupata dhamana

    "When a crime go unpunished the world world remain unbalanced" -Oishi 47 Ronin.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Vijana msishindane na serikali. Tulieni

    Mtu anauliwa kihalali kwa kupigwa risasi? Hatupo Afghanistan ndugu Mtanzania.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Vijana msishindane na serikali. Tulieni

    Mtu anauliwaje kwa haki? Una level gani ya elimu kwanza
  4. T

    JamiiForums Tanzania Je, soko la HISA ni utapeli?

    Hisa za crdb mbona ziko kwenye downtrend wiki ya pili hii kiongozi! Zilifika all time high hapo mwishoni mwishon wa august na sasa zinafanya correction. Pili DSE hawapangi bei bali bei inakuwa drived na law ya demand na supply. Wanaozitaka hisa za voda ni wachache kuliko waliotayari kuziuza...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Wanataka kumonopolize ukweli. Wanachosema wao ndio uhalisia wakati hawana credibility hio. So sad, huu ndo uhuru wa vyombo vya habari wanaoutaka (kundika walaotaka liwe kweli)
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli tu CCM, inapendwa, inaaminika na inakubalika sana kwa waTanzania wote.

    Ila kijani bhna, sawa mnapendwa sana.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Jaza Form ya TCRA Usijepatwa na Shida, Serikali Inakufuatilia Vipi? (Watumiaji wa VPN Special Thread)

    Sawa kijana wa Taasisi, yani ufanye maisha yawe magumu kwa kunilazimisha nitumie VPN. Then urudi uniambie nijaze form ili kutumia hiyo vpn? Hivi huwa mnatuonaje. Unakatwa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Wabongo mmeifanya Telegram ionekane ya kihuni hata kwa watu wastaarabu

    Santia yupo toka mwaka gani?
Back
Top Bottom