Nadhani nimeeleza kidogo, kwa sasa uwanja haupo plain - mfano, mwenyekiti wa CCM (kila 5 years ni mgombea pia) anateua waamuzi (Tume). Kuidhoofisha kunalenga kufanya level plainfield kwa vyama vyote ili wananchi waweze kuchagua wamtakae.
However; sina attachment yoyote na maneno (heading)...
Mie ni Mtanzania kabisa na sijawahi kupita jeshi lolote (iwe mgambo au JKT). Nimeomba kupata mbinu za kuidhoofisha na baadae kuishinda CCM, CCM sio serikali ni chama tu cha siasa kama kilivyo TLP & Jahazi Asilia. Unaweza kunisaidia mbinu gani vyama vya upinzani vitumie ili kuishinda CCM?
Shukrani sana, nakubaliana nawe kabisa. Mara ya mwisho walipofanya hivi 2015 walipata kura milioni 6 na wabunge kibao, ndio kura nyingi zaidi kuwahi kupatikana.
Post yangu inaomba michango ya nini kifanyike? ACT ni chama kimojawapo, wana haki ya kutumia mbinu wanayoona inawafaa. Vipi kwa vyama na wadau wengine, je wao watumie mbinu gani?
Shukrani sana kwa mchango wako. Umesema 1. elimu ndio suluhisho na 2. CCM inarudisha nyuma elimu kwa makusudi; Je tutumie mbinu gani kakabiliana na hili?
1. Ume- assume mimi ni middle class, tena nikifanya kazi kwenye AC - hii haina msaada wowote kwenye kupata katiba wala kwenye hoja iliyoko mezani.
2. Ushauri wako wa kuzungumza na wananchi ndio nilichofanya kupata maoni yao. Je ungependa mjadala kama huo ufanyike wapi?
Habari za asubuhi wanajamvi.
Nimekuwa nikitafakari sana hali ya kisiasa nchini. Ni ukweli ulio wazi kuwa Chama tawala (CCM) ni chama kikubwa, chenye rasilimali watu na fedha pamoja na kufanya kazi kwa ukaribu na vyombo vya ulinzi na usalama, bila kusahau tentacles zake ziko kwenye kila eneo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.