Recent content by THIONG'O

  1. T

    Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

    Lakini pia wakuu, ngoja tujaribu kuchambua sababu za msingi zilizowafanya CCM warudishe utaratibu huu.Ikumbukwe utaratibu huu kauanzisha Julius na si kama wanavyodai waungwana hapa eti wakati wa Julius haukuwepo,huo ni uongo...tena wakati huo ulikuwa mkubwa na mgumu kuliko sasa kwani moja ya...
  2. T

    Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

    Mkuu hebu niambie kosa lao hasa nini? kama nikutengeneza cv kwa njia halali za kufanya kazi ya chama chao na ikaonekana na kutambuliwa kosa lao nini???Nikama mtu anasoma apate labda degree ili agombee urais kama ndio kigezo kilichowekwa kosa lake nini hasa??Kama kuna mtu anadhani hana sifa ni...
  3. T

    Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

    Ndugu yangu Gembe na wengine wote wanaodai ni ULAJI hebu tuelezeni kwa uwazi na mifano ulaji gani huu/huo??? Swala la Nape kwamba wadai ni kampeni kutaka UVCCM,nani kati ya walio India ni mpiga kura kwenye mkutano wa UVCCM na je wengine nchi zingine wanataka UV gani?? Tujenge hoja sio vioja...
  4. T

    Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

    Wakuu,heshima kwenu....... Maneno mengi hapa kama vile twajifurahisha tu, mtu mmoja aliwahi kusema...hasira hata iwe kali vipi,haiwezi kuivisha chakula...maneno haya hata kama makali vipi hayawezi kuwazuiya CCM kufungua matawi nje..na ukiona asiyekutaka analalamika kwa wewe kufanya jambo ujue...
  5. T

    Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

    SIO KWA IDHINI YAKE WALA YA ALIYENITUMIA BUT TUJADILI CONTENT,HASA MAENEO NILIYO YAKOLEZA,MIMI NAAMINI WAPO WENYE NIA NJEMA KWA MAANA WANAAMINI MABADILIKO NDANI YA CCM YENYEWE,SO WANAOAMINI NJE YA HAPO NAO RUKSA...ILA TUSICHOCHEE CHUKI BALI WAJIFUNZE VIJANA KUSHINDANA KWA HOJA,SO MSINGI UWE HOJA...
  6. T

    Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

    Wakuu,wacha nianze kwa kudeclare interest kwamba mimi ni mwananchama na mpenzi wa CCM,BUT MWENYE LIBERAL MIND.Navikubali vitu vingi baadhi navipinga. Nimefuatilia mijadala juu ya ufunguaji wa mashina nje ya nchi na sasa naomba tuweke mambo kadhaa sawa ili tujadili vizuri... 1.Swala la matawi...
  7. T

    Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    Mkuu wale wazito sitasema yote lakini hoja zao ni hizi kwa kifupi juu ya kijana Nape. 1.Anamsimamo usiyoyumbishwa na pesa japo nimasikini kulinganisha na watoto wengi wa wakubwa,na hii ni kutokana na umasikini wa babaake Mzee Nnauye.Na wakatoa mfano wa jinsi alivyoupinga MTANDAO na kukataa pesa...
  8. T

    Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    Fisadi mtoto,unaonekana kutawaliwa na jazba zaidi ya hoja!!!!Hata zingekuwa milioni mia nane,za kifisadi hatuzitaki!! Lakini inaonekana uko mbalisana na ukweli maana hakuna mgombea sasa nayetaka kuungwa mkono na Nchimbi maana hatapita asilani.Mifano ni mingi lakini hata Uchaguzi wa NEC 2007...
  9. T

    Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    ndugu mtoto wa mkulima,mbona umetupa tathimini nusu? kuna huyu kijana Nape Nnauye anasemwa sana,yeye vipi?mimi nafuatilia but nipeni nondo wenye nazo.Nimekuta mahali anatetewa na watu wazito nikastuka....................
  10. T

    Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    Fisadi Mtoto, kwanza hongera kwa hoja zako.But nifafanulie mambo machache ili nami nichangie mjadala huu,by the way who is Nape??????? maana katika mazungumzo yako wamponda sana huyu kijana.Na hapo umemwita aka Achabe kulikoni?
Back
Top Bottom