Huyo erasto aka eraa ni mnafki sana. Katika kuhabarishana huwa anasema na kukana hakuna ndugu anayejua ben anaishi wapi . Na yeye huwa anakutana nae tu sehemu za wazi.
Hapana. Huu ni UONGO. walichofanya ni sayansi asilia kabisa. Ukiwez kutawanya misumari katika umbali sawia kwa kila upande. Basi husababisha maumivu au madhara kidogo sana kwa sababu ya tabia ya ngozi.
Mfano kukalia mbao moja unaweza umia makalio, ila kukiwa na mbao mbili au zaidi zilizowekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.