Recent content by Think Bigg

  1. T

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Pole ndugu yangu lakini usikate tamaa, mabadiliko ni process
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamke usikubali kujenga mahusiano na mwanaume wa aina hii maana atakuumiza tu

    Mimi huwa ni msusaji mkubwa sana
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mwalimu nyerere academy university

    Tuko pamoja kaka, chuo kinafunguliwa....
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ngome kuu za UKAWA hizi hapa, CCM kushinda urais ni ndoto za mchana

    Hapo uko sahihi.. mkuu
  5. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Bora ndugu yangu umekuwa positive kuliko ambao hao wengine ambao wako too judgemental ...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Nimewa skip simply because ninahitaj new ideas, exprience as well as new friends ndo maana ya hvyo vgezo, lakin uhandsome haupo ktk vgezo vyangu....
  7. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Ili watu muwe marafik kuendana nacessary kwasababu kla binadam n selective kwa aina ya watu anaotaka kuinteract nao
  8. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    I believe in changes, lakin sio lazima marafik zangu wote, waamin hvyo...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Chama gani...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Kule wapi.... poa nishakaribia
  11. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Kinondon, Kushare changamoto za maisha na kushauriana when its nacessary, sidhan kama nina mfadhaiko lakin Am looking for new ideas from new friends ambao sina growing back ground nao moja au ambae wana exprience ya maisha ambayo n tofaut na yangu, nina imani utakuwa umenielewa
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mwalimu nyerere memorial academy

    Tayari wameshaweka majina ya waliochaguliwa kujiunga ngazi ya shahada kama uliomba hapo nenda kwenye website yao ukaangalie....
  13. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Hapana mimi ni straight ni fundi fenicha
  14. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Mimi ni straight mkuu sio unavyofikir
  15. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Mimi ni fundi
Back
Top Bottom