unaishi wapi dar,,,why unatafuta marafiki,,unamfadhaiko gani?
jamen ,,kinondoni tena si ndo kule,,,,,,haya karibu
kwa wanachama
m nataka bottom mpya
Kinondon, Kushare changamoto za maisha na kushauriana when its nacessary, sidhan kama nina mfadhaiko lakin Am looking for new ideas from new friends ambao sina growing back ground nao moja au ambae wana exprience ya maisha ambayo n tofaut na yangu, nina imani utakuwa umenielewa

Why you've chosen wale tu ambao huna "growing back ground zao"? Kuna walakini hapa..wale mliokua nao kwanini unawa skip? Unakaa kino ipi kwanza maana tuanzie hapo!
Acheni hizo bwana,kama mtu huna vigezo na hauko interested mbona simple tu?
Acheni wenye vigezo na watakaopenda urafiki na jamaa wamtafute.
Msifanye hivyo jamani,watu watakuwa wanakosa uhuru huku maana mmemshambulia sana jamaa.
Mkuu kigezo cha itikadi ya kisiasa umesahau ni mabadiliko or hapa kazi tu?
Urafiki na kigezo cha urefu wapi na wapi?
Nimewa skip simply because ninahitaj new ideas, exprience as well as new friends ndo maana ya hvyo vgezo, lakin uhandsome haupo ktk vgezo vyangu....Why you've chosen wale tu ambao huna "growing back ground zao"? Kuna walakini hapa..wale mliokua nao kwanini unawa skip? Unakaa kino ipi kwanza maana tuanzie hapo!
Nimewa skip simply because ninahitaj new ideas, exprience as well as new friends ndo maana ya hvyo vgezo, lakin uhandsome haupo ktk vgezo vyangu....
Bora ndugu yangu umekuwa positive kuliko ambao hao wengine ambao wako too judgemental ...Acheni hizo bwana,kama mtu huna vigezo na hauko interested mbona simple tu?
Acheni wenye vigezo na watakaopenda urafiki na jamaa wamtafute.
Msifanye hivyo jamani,watu watakuwa wanakosa uhuru huku maana mmemshambulia sana jamaa.