Recent content by ThickDarkness

  1. ThickDarkness

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Nimefuatilia Huu Uzi Mpaka Hapa. Kwanza Story Ni Tam. Ila Nahisi Wee Jamaa Ulikua Zero Brainer 😉😉 Lakini pia nimejifunza Kitu kikubwa Sana Toka Kwako. Lakini Pia Majivuno Na Pesa Vilikua Vina kuendesha Sorry 😔 Lakin Ni Mtazamo Wangu Tu
  2. ThickDarkness

    JamiiForums Tanzania Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

    Kama Upo 2025 Gonga Like. Hivi Huyu Jamaa Mtoa Story Yupo Kweli
  3. ThickDarkness

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni haki kwa mke kumficha mumewe password ya simu yake?

    Kama unapenda Amanin Usijalibu Kugusa Sim Ya Mkeo Au Mmeo
  4. ThickDarkness

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Trump ni pigo kubwa kwa CCM

    Kule ni US Baba Siyo Bonyokwa Au Chikanamulilo
  5. ThickDarkness

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Trump ni pigo kubwa kwa CCM

    Daaa ko mwanangu uliataka nako kuwe na hekheka kama huko +255
  6. ThickDarkness

    JamiiForums Tanzania Video zinagoma kufunguka kwenye account yangu ya mtandao X

    Hili Tatizo lipo Kwa baadh ya watu wanao Tumia mtandao wa Vodacom. Njia ni rahisi Tu Tumia VPN
  7. ThickDarkness

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hashim Rungwe: Tukienda kwenye mikutano ya CCM wanatupa hela, tunazichukua na tutaendelea kuzichukua

    PESA Za wanainchi. Ko na wewe u nakubali kupokea
  8. ThickDarkness

    JamiiForums Tanzania Mimi nikajua Israel huwa inajibu mapigo muda huohuo. Leo ni siku ya nne

    Wamechokozwa ko lazima Israel Amchape Ilani Moja Kwa moja
  9. ThickDarkness

    JamiiForums Tanzania Mimi nikajua Israel huwa inajibu mapigo muda huohuo. Leo ni siku ya nne

    Ukiwaingilia bila guard wana Gawa dozi wastani Kwa idadi. Hapo lazima calculation zihusike Israeli wametambua Washkaji siyo wanyonge hata kidoga.
  10. ThickDarkness

    JamiiForums Tanzania Mitano tena: Muonekano wa nje wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Kilindi Kata ya Matiri Ruvuma

    Koo mwamba una kimdomodomo sana Au siyo
  11. ThickDarkness

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

    Apo mada kuu ilikua ni kua na pesa
  12. ThickDarkness

    JamiiForums Tanzania Nimepata homa kali baada ya kufanya mapenzi

    Tuma picha ya huyo demu ulo lala nae. Ila nasikitika kusema ndo basi tena😎😎🫡
  13. ThickDarkness

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Tusiweke mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea amechukuliwa na Vyombo vya Dola. Tusitumie mihemko

    Hivi huyu alifikaje Kwenye nafasi ya Uspika wa bunge.
  14. ThickDarkness

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania siasa haihitaji ushabiki, siasa inahitaji ufuasi

    Ndo wanainchi tulonao tutafanyaje
Back
Top Bottom