Recent content by Thewing

  1. T

    JamiiForums Tanzania Feisal is smart! Deal with big fish

    Naona hamjachoka kumdanganya, nawashauri tu mwambieni arudi Yanga ndio salama yake.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Feitoto akwama tena TFF, arudishwa Yanga

    Safi Yanga waendelee kushikiria hapo hapo na waendelee kumlipa mshahara hadi mkataba wake uishe na wala wasimshitaki kwa kukiuka mkataba ili ifike hiyo 2024. Kiburi si maungwana na tumeona hata Ulaya mchezaji anasusa kwa kubip Ila mwisho anarudi mwenyewe. Sasa Totooo anajifanya hard head.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Zile Kambi za Dubai, Egypt na Sudan kumbe zilikuwa ni kwa ajili ya nusu fainali ya ASFC

    Nawapongeza watani wangu Simba kwa pre season nzuri. Moja ya mafanikio mazuri kwenye michezo ni maandalizi Kama hayo. Timu iweke kambi nje huko na icheze na timu za madaraja mazuri. Nadhani tusiwabeze Simba hawa Ila tushukuru Mungu mambo yameiendea vizuri timu yangu ya Yanga, natamani msimu ujao...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu): Nitagombea popote atakapogombea Tulia, hatujamalizana!

    Bora hata Sugu alituburudisha kwa nyimbo, hao wengine waliacha legacy gani.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya klabu bingwa Afrika 1974 ambayo Simba ilishiriki

    Endeleeni na furaha zenu za kulazimisha za miaka ya 1970, sisi tumaendelea na furaha tunazozishuhudia wenyewe. Napenda kuwapa pongezi kwa kufika nusu fainali mwaka 1974, hongereni sana Simba.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Clement mzize, sio level ya kucheza yanga.

    Mchezaji mzuri apewe nafasi na muda, tuna tabia ya kuwahukumu wachezaji mapema.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kocha Nabi Kaisuka Yanga SC kwa miaka Miaka Miwili, Kocha Oliveira Kaisuka Simba SC kwa Miezi Minne je, yupi ni Bora?

    RAGE aliwaita mbumbumbu na hilo naendelea kuamini. Kwa akili ya kawaida tu ungeangalia kila kocha aliikuta timu ina hali gani. Nabi kaingia Yanga timu ndiyo kwanza ilikuwa inaanza kujitafuta na wachezaji wanaingia na kutoka, wakati huyu mwingine kakuta timu iko robo fainali. Nadhani tuombe Mungu...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee

    Tutajie hizo timu kubwa mlizocheza nazo, hadi kufika makundi, kama sio vitimu vya ajabu ajabu tu.
  9. T

    JamiiForums Tanzania FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Dalili zote zinaonesha Simba anamchomoa bingwa mtetezi kwa matutq. Hawa Wydad wameishakubali.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tunaishi katika sayari tofauti kabisa kimaono, na hii ndio inatofautisha timu kubwa na timu kongwe

    Hizo timu zote ulizozitaja zimewahi kuwa mabingwa wa Afrika kwa nyakati tofauti tofauti, vipi kuhusu timu yako. Anyway acha tushinde kwa vibonde wenzetu na wewe shinda kwa unaowaita wakubwa wenzako tuone.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nabi: Bao la kwanza la Simba sio halali

    Sawa goal kick, timu ilipaswa kuzuia ipasavyo.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kesho ni derby ya Kariakoo, lakini TFF haijawatendea haki waislam

    Tatizo ni Simba na Yanga au sio. Hizi timu tunapenda sana kuziabudu, mbona timu nyingi tu zinacheza mapema na hakuna malalamiko.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Simba atafungwa na Yanga Jumapili

    Nakubaliana na wewe nikiwa mwana Yanga kindakindaki wa tawi kubwa sana hapa Nchini. Kila siku nasema Simba sio mbovu kama tunavyodhani, Ila ubora wa Yanga unaifanya Simba ionekane mbovu. Yanga anaweza kushinda sababu tu Simba ukimzuia Chama timu haichezi na kwa miaka mingi Yanga wamefanikiwa kwa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri mechi ya Simba na Yanga itaisha Sare, pia Timu zote mbili zitatolewa kwenye robo fainali ya mashindano ya Caf

    Unaleta mada kiudaku udaku tuu. Timu zitatoa sare hakuna sababu, Yanga na Simba watatolewa hakuna maelezo. Hivi hawa Walimu wenu wa siku hizi hawawafundishi kujenga hoja, lo hiki kizazi.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Fountain Gate Kwa Kutwaa Ubingwa wa Afrika Kwa Wanawake.

    Hii ndio timu sasa imeweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza Tanzania kuchukua ubingwa wa Africa. Achana na Simba na Yanga. Hongera kwao.
Back
Top Bottom