Recent content by Thewildlife_tz

  1. Thewildlife_tz

    Mfahamu kunguru ndege anayeongea

    Wanatofautiana species mkuu..
  2. Thewildlife_tz

    Mfahamu kunguru ndege anayeongea

    Ha ha wanaakili sana
  3. Thewildlife_tz

    Mfahamu kunguru ndege anayeongea

    Hapana mkuu watu wengi sana hawali kunguru.. kla kuna baadhi wanakula japo wengine hawali kwasababu za kidini
  4. Thewildlife_tz

    Mfahamu popo

    Hapana mkuu hazewzi pasua ukuta
  5. Thewildlife_tz

    Mfahamu popo

    Sawa sawa shukranii
  6. Thewildlife_tz

    Mfahamu kunguru ndege anayeongea

    Duuuuhh .. hii kali ila ninafahamu kwamba kuna dini wanasema kunguru ndio alitambulisha kuzika na siku za kuomboleza..
  7. Thewildlife_tz

    Mfahamu kunguru ndege anayeongea

    Yaaha anareason sana mambo
  8. Thewildlife_tz

    Mfahamu kunguru ndege anayeongea

    Ha ha yaah ndio tabia yao hawawakubali kabisa njiwa..
  9. Thewildlife_tz

    Mfahamu kunguru ndege anayeongea

    https://en.m.wikipedia.org/wiki/Bird_intelligence
  10. Thewildlife_tz

    Mfahamu kunguru ndege anayeongea

    Nenda kasome deep utaelewa. Nakupa zoezi nenda google kaulize watakupa majibu sahihi kabisa ngoja nikupatie na link.. katika ndege wenyeakili zaidi kunguru ndio anaoongoza kwa kukalili na kujua mambo na kuchanganua...
  11. Thewildlife_tz

    Mfahamu kunguru ndege anayeongea

    Yaah viko sahihi mkuu ila ni kwa kunguru mzima..
  12. Thewildlife_tz

    Mfahamu kunguru ndege anayeongea

    Bisha kwa facts... mkuu.. leta details..
  13. Thewildlife_tz

    Mfahamu kunguru ndege anayeongea

    Ha ha daah polee sana huwa wanaakili na wanajua kwamba nani adui yao.. asante kwa kushare exprience..
  14. Thewildlife_tz

    Mfahamu kunguru ndege anayeongea

    Ngojaa niitafute mkuu.. shukranii
  15. Thewildlife_tz

    Wanaitwa ‘MANTIS SHRIMP’ mwenye pigo sawa na nguvu ya risasi

    Hapana wavuvi wachache sana wanawapata hawa.. maana wanaishi chini sanaa
Back
Top Bottom