Recent content by Thermostat

  1. Thermostat

    Utafiti: Wanaume huishi muda mrefu zaidi ikiwa wameng'olewa korodani

    Kwa utafiti huo wanaume wanaofanya ngono Sana wanawahi kufa. Siwezi pingana nao au kukubaliana nao kwasababu tafiti hupingwa kwa tafiti
  2. Thermostat

    Majibu ya CCM Mdahalo wa Odemba: Tunasikitishwa na jinsi alivyoupotosha umma, tumeshangazwa na machozi yake!

    Mdahalo sio kitu kidogo hasa kipindi hiki tunachoelekea uchaguzi ikitokea mmoja ulimi ukateleza inaweza zalishwa ajenda hapo na ikawa fimbo ya kumuadhibu.
  3. Thermostat

    Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Mzee Kaondolea aibu familia na ukoo🦁
  4. Thermostat

    Dkt. Slaa: CHADEMA walimteka mtu wao, wakamtesa, wakamtupa, mimi nikajua watekaji ni Usalama wa Taifa

    Kuna kitu kaongea hapa kuhusu kuteka na Red brigade then kuna kifo Cha CHACHA WANGWE hapa kuna kitu ndani ya hivi vyama vya siasa
  5. Thermostat

    Aliyosema Kitila Mkumbo katika mahojiano TV-E

    Uhuru wa kutoa maoni yake. Ukitaka mtafte yule ni mtu anaejua kujenga hoja vizuri tu
  6. Thermostat

    Austria: Daktari atozwa faini kwa kumkata Mgonjwa mguu ambao haukufaa kutolewa

    Hi nouma sana. Ila upande wa kung'oa meno kwa mchango yanajitokezaga sana mambo haya
  7. Thermostat

    Elon Musk ataka WFP waeleze namna watakavyopambana na njaa kwa Dola Bilioni 6

    WFP watoe mpango kazi wa kumaliza njaa na ukieleweka Beberu anafungua wallet.
  8. Thermostat

    Ushawahi kumpania mwanamke halafu siku hiyo jogoo hakuwika?

    Baharia huyo mwanao alizaliwa au tukupe kesi ya kuhusika na kifo Cha huyo dogo.
  9. Thermostat

    Bunge: Wabunge wanakatwa kodi zote stahiki ikiwemo 'PAYE''

    Kama wabunge wenyewe wanakili hawalipi Kodi tena wabunge wasomi wa sheria kama Jerry silaa alafu Leo mnataka kutuaminisha kua mnalipa Kodi. Lipeni Kodi kwa hizo 9m ambazo ni posho kama wazalendo
  10. Thermostat

    Trump atishia kusitisha uhusiano na China

    Haswaaa ata Mie nashangaaa at janga la dunia wakati apa Tz hawajafa ata buku
Back
Top Bottom