Recent content by Theodory Byabatto

  1. T

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu liwekeni sawa hili la watoto kutoka shule saa 11:30 jioni

    Sio watoto tu hata wazazi tumeumizwa, kwani baadhi ya shule walipiga hesabu ya hayo masaa 2 yaliyoongezeka pamoja na siku za kufunga shule December zilizosogezwa mbele wakauita robo muhula na wakaongeza ADA wakasema hayo ni maamuzi ya bodi za shule.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Dodoma kwa kasi hii miaka 4 itaipita Arusha

    Una ushahidi kuwa mali zake ni wizi? Au umasikini wa fikra unakusumbua.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Soko la mayai

    Mimi matumizi yangu ni tray 20 kila siku nipo Dodoma bei ya soko kwa sasa ni tshs 5000/-
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mpunga dakawa

    Asante kwa ushauri wako nitafuatilia huko nione kama naweza kizipata hizo mbegu mkuu.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mpunga dakawa

    Msaada nahitaji mpunga aina ya KAHOGO na PICHOLI hizi ni mbegu za asili zamani zilikuwa zinapatikana mikoa ya kanda ya ziwa hususani mkoani Mwanza. Mwenye aina hizo za mpunga tuwasiliane tafadhali. Ni kwa ajili ya mbegu. Asanteni.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa kilimo cha mpunga karibuni

    Wakuuu natafuta mpunga mbegu za kienyeji aina ya KAHOGO, na PICHOLI. Kwa ajili ya mbegu. Mwenye aina tajwa hapo juu aje PM. Mbegu hizi miaka ya nyuma zilikuwa zinapatikana mikoa ya kanda ya ziwa hususani mkoa wa Mwanza.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nani anamiliki data zinazowezesha kutumia mtandao intaneti?

    Hapo umenena mkuu, mmojawapo ni mimi hapa.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nani anamiliki data zinazowezesha kutumia mtandao intaneti?

    Nimefuatilia maelezo ya kwa kina mkuu, bado mnatukanganya sehemu moja. Sisi tunachohitaji kujua ni hivi:- Ni nani anayemiliki hizi DATA ambazo zinakuwezesha uweze kupata Internet na hizo DATA zinatengenezwaje?.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nani anamiliki data zinazowezesha kutumia mtandao intaneti?

    Kumbe bado unawafuatilia wanavyojikanganya mkuu.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nani anamiliki data zinazowezesha kutumia mtandao intaneti?

    Mkuu mimi mwenyewe nilitaraji hawa ndio walikuwa watu sahihi wa kujibu swali hili.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Fursa: Mifuko ya nailoni imepigwa marufuku ni Wakati wetu sasa kutafuta kitu mbadala

    Mkuu paperbag za kubeba hivyo ulivyovitaja hapo juu zipo. Tatizo litakuja kwenye bei. Ninasema hivyo maana nimeona kwa majirani zetu Kenya hiyo mifuko ipo lakini ni ghali ambapo mteja wewe ndiye unayelazimika kuununua na sio sehemu ya huduma kutoka kwa muuzaji wa bidhaa kama tulivyozoea. Mfano...
  12. T

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwanza niwapongeze kwa kuweka ukurasa wenu kwa ajili ya kujibu na kushughulikia kero na malamiko mbalimbali yanayoelekezwa kwenu. Pongezi. Mimi nilitaka kujua juu ya lifuatalo:- Nilikuwa na biashara ya duka maeneo ya Temboni likavunjwa kwenye zoezi la upanuzi wa miundombinu. Je kwa utaratibu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kimasoko (Marketing tactics)

    Mimi niko Dodoma.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kimasoko (Marketing tactics)

    Asante kwa somo zuri, mimi ninahitaji msaada wako katika biashara ambayo imeanguka kisha ina madeni mengi na kwa sasa ninajipanga kuifufua upya. Kwa kifupi ni kwamba nilikuwa naendesha biashara ya bakery kwa kipindi cha miaka 6, lakini kwa bahati mbaya mwaka 2016 nilivunjiwa mahali nilipokuwa...
Back
Top Bottom