Recent content by TheMnyonge

  1. T

    Bolt/Uber kwa sasa kipande bei gani kwa siku?

    Bora kukomaa na hizi hizi ngumu lakini halali, maana rahisi nyingi ni haramu...
  2. T

    Bolt/Uber kwa sasa kipande bei gani kwa siku?

    Baada ya kupigika mno, nimeomba gari ya mtu walau nijipatie pesa kidogo kusogeza siku mjini! Gari niliyopata ni Passo, 3 piston n'a cc990 Jamaa ananiambia anataka nimpatie hesabu ya 40k kwa siku, mafuta juu yangu! Wenye ujuzi niambieni, hii imekaa sawa? Kwa hesabu hii ninaweza kupata hesabu ya...
  3. T

  4. T

    Baadhi ya wanaojiita "watumishi wa Mungu" wadhibitiwe ni wezi kabisa kwa mgongo wa Imani

    Wanasema mambo ya dini hayapaswi kuingiliwa na serikali,lakini kwa hali ilivyo nyuma ya dini Kuna UTAPELI mwingi mnoooo
  5. T

    Baadhi ya wanaojiita "watumishi wa Mungu" wadhibitiwe ni wezi kabisa kwa mgongo wa Imani

    Sasa huyo anakuwa na tofauti gani na mganga wa kienyeji?
  6. T

    Baadhi ya wanaojiita "watumishi wa Mungu" wadhibitiwe ni wezi kabisa kwa mgongo wa Imani

    Nimekaa na kutafakari sana baada ya kukutana na mama mmoja maeneo ya mitaa ya katikati ya mji wa Morogoro. Huyu mama ana mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka kati ya 15-17, kwa maelezo ya mama yake ni kwamba kijana wake amelazimika kuacha shule kutokana na kukumbwa na maradhi yasiyoeleweka...
  7. T

  8. T

    Ammwagia mke mwezie maji ya Moto kwenye msiba wa Baba mkwe

    Kumwagia mwenzake maji moto na kumjeruhi ndiyo mambo ya sasa?
  9. T

    Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Kwa usawa huu kabisa nikusanye Milioni 4 kupeleka mahari?
  10. T

    Shekhe acharuka Mwamposa kuingiza milioni 900

    Masheikh wa aina ya huyu jamaa ni wapumbavu sanaaa, issue ya bandari inajadiliwa kwa kufuata vipengele vya mkataba, TEC wameukosoa mkataba straight way, hakuna mahali wametaja BAKWATA wala UISLAM! Wao kama wanaona mkataba uko sawa, walipaswa kutoka hadharani n'a kuu-analyse mkataba kipengele...
  11. T

    Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Hakika natamani siku zingerudi nyuma nifanye marekebisho ya maamuzi yangu... Nimefika zangu home usiku huu nakuta wife (ambaye bado sijafunga naye ndoa, japo nimeshakwenda ukweni kujisalimisha) Nimeingia ghafla nimemkuta shemeji yenu akifanya maajabu,sasa sijui ni ushirikina???
  12. T

    Kudate na mwanamke wa JamiiForums inahitaji moyo

    Atakuwa to yeye bhanaaa, ,[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji23][emoji23]
  13. T

    Dar sio Jiji la harakati za Ukombozi kama ilivyo Nairobi, Kampala, Harare na majiji mengine

    Morogoro????? Ambalo wana mbunge mmoja tu mpaka aamue kuacha mwenyewe? Bora ungesema hata kigoma
Back
Top Bottom