Ajaonekana hata msibani hajaonekana
Baada ya Simu za Kaka yake kukamatwa na kuchunguzwa inaonesha walikuwa na mawasiliano ya karibu saana kuanzia mipango ya sakata la oct 29.
Hivyo hata yeye simu zake zimeshikiliwa na amewekwa chini ya ulinzi mkali mpaka hadi mnyororo wote ukamilike……!
Tume...
Tangu Kenan Kihongosi aapishwe ukuu wa mkoa wa Arusha, hali ya mazingira ya mji si shwari tena kipindi ambacho ni high season ya watalii wengi kutoka ughaibuni
Barabara ni chafu
Garden za mji ni chafu
Roundabouts chafu majani yameoteana kiasi cha msituni
Arusha hatujazoea hivi mkuu wa mkoa...
Moja ya kitu ambacho kinahitajika kwenye kufanikiwa kwa kila taasisi ni kumuweka mtu anapostahiki, kumpa mtu sifa anayostahiki lakini kumpa majukumu mtu anayostahiki zaidi eneo alilobora zaidi.
Tumekuwa na tabia ya kumpa mtu nafasi kulingana na ukaribu wetu na sio ubora wake kwenye jukumu...
Mikristu hainaga akili: wanyewe kunukuu vifungu vya biblia kwenye mikutano yao wanaona sawa, wenzao wakinukuu Quran wanaona vita.
Futa upuuzi wako hapo
Nikiwa na pitapita zangu jijini jana nikakutana na mama mmoja mwandamizi wa chama mjini
Nikamuuliza kwahiyo mama ndo tunaenda kumpa Arusha mtu ambae hata haijui Arusha, hata miaka mitatu hana.
Mama kaniambia KULA KWA MAKONDA, KURA KWA GAMBO
Kuna fukuto kati ya makonda na Gambo kugombea Ubunge jimbo la Arusha mjini, maneno na maoni ya wananchi na wanachama muhimu wa CCM yamekuwa mshale mkali dhidi ya makonda.
Nimezunguka kutaka kufahamu maoni ya wanachama waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha kuhusu mkuu wao wa Mkoa na hamu yake ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.