The joy band live music, ina kukaribisha na ipo tayari kuku hudumiya wewe kama una hotel, club, bar au sherehe ya aina yoyote kwa bei nafuu, tuna piga muziki wa aina yoyote: Zilipendwa, rhumba, jazz, country, chacha, charanga, salsa, bolingo, reggae n.k huku tukiwa live.
Tuna patikana dar es...