siamini katika uchawi na pia siamani katika story za dini. kuishi hivi hakujawahi kunisababishia tatizo lolote katika maisha. sijawahi kurogwa au dalili yoyote ya kuwa anayeitwa mungu ananiadhibu. naishi maisha yenye furaha.
As we aproach the end of 2024, nawashukuru LFC fans kwa kuwa sehemu muhimu katika maisha yangu. Nathamini vitu vichache vinavyonipa furaha. LFC na ninyi LFC fans make me happy so often. Asanteni sana, hopefully tutafurahi zaidi mwishoni mwa 2024/2025 season.
Hello, fellow Liverpulians! Hongereni kwa Ushindi Mkubwa.
Mimi huwa napita kwenye ukurasa huu kusoma comments tu. Lakini, kwa ushindi wa jana, nimeshindwa kujizuia. Nimejisajili ili niwasalimu na kuwapongeza kwa ushindi dhidi ya KIPARA.
YNWA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.