Recent content by thegreatchief

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukibet mwenyewe unajiamini sana kuliko uki share. Zile unazoziamini kuwa zinatoa mpaka ukaamua kushare, ndizo zinazoharibu. Zile ngumu kabisa ambazo unaona haziwezi kutoa ila unajaribu mwenyewe, ndizo zimazotoa
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi hawana ku share code wale?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimeacha mkuu kuanzia sasa
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inanishindaga hii. Kuna kiasi kikifika napata wenge naanza kupoteza zote
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ku-renew leseni ya udereva

    Traffic tena??? Hapa panahitaji cheti cha mafunzo ya udereva
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ku-renew leseni ya udereva

    Itabidi niende nipewe hiyo form
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ku-renew leseni ya udereva

    Duh!!! Mbona issue sasa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ku-renew leseni ya udereva

    Namba ya nini mkuu?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ku-renew leseni ya udereva

    Sawa mkuu. Japo nilitaka nijue taratibu za awali ili nikienda nisipoteze muda
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ku-renew leseni ya udereva

    Vishoka ni njia salama kweli? Vipi wakinidhulumu?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ku-renew leseni ya udereva

    Habari za wakati huu wana jamii forum? Leo nimekuja na swali ambalo nina uhakika nitapata usaidizi kutoka kwa wahusika au wazoefu wa hiki ninachotaka kuuliza. Ni zaidi kama miaka miwili leseni yangu ya udereva ilipotea na muda wake ulikua unaisha mwaka huo. Bahati mbaya sikupata nafasi ya...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Chanjo ya COVID-19 siyo chapa ya 666

    Alifubaa na nini wakati amejitengenezea wafuasi wengi sana na sadaka anayokusanya kwa wiki ni hatari
  13. T

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Chanjo ya COVID-19 siyo chapa ya 666

    Kakobe atafute umaarufu upi tena? Ana makanisa Tanzania nzima na ni tajiri wa kutupa
  14. T

    JamiiForums Tanzania Najaribu kukizoea kifo nashindwa kabisa!

    Kinachoniumiza kwenye kifo ni kimoja tu. Nawaachaje walio hai ambao ilitakiwa niwatengezee njia....... Yaani nikiambiwa nichague kati ya kufa na kuishi,naona bora kufa... nimeshasema kinachonipa hofu ni nini. Nikimuwaza mwanangu bado mdogo na sijamtengenezea mazingira mazuri ya kuishi, basi...
Back
Top Bottom