Habari wanajamii, nilikuwa na ndoto ya kusave nije kuanza biashara ya kusafirisha mizigo (kutumia semi) au hata kuwa na tipa la howo la 20cm3.
Nimejikuta kuzikubali sana hizi tipa za howo kasoro tu sijui soko lipoje na faida ipoje? Hivyo naomba mtu atakaeweza kunielekeza faida kwa upande wa...
Habarini WanaJamii nilikuwa naomba kupata kujua bei ya tambi za kupima hapa Dar es salaam.
Na je zile za pakti za dukan nazo ni bei gani.
Asanten sana in advance
Kuibiwa inawezekana lakini kama ukiweka system za ulinzi vzr chances za kuibiwa zinakuwa ndogo na pia eneo la makazi linategemea kwani kuna sehemu ambazo wizi sio mwingi kama zingine
Je, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?
Je, unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?
Habari wadau naomba kuuliza kujenga msingi wa nyumba ndogo ya chumba kimoja inaweza gharimu shilingi ngapi?Nimeweka picha hapo chini.
Vipimo vyake ikiwa ni mita 6 kwa 6
Hapana ninataka tu kujua ili nichague option ambayo ni sahihi na salama kwa kujenga nyumba imara.Kwa sasa siwezi kupanga focus yangu ipo kwenye kujenga na kuhamia kwangu naamini ninaweza kwa msaada wa Mungu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.