Recent content by TheCitizenOfZion

  1. T

    Kiteto: Mwenyekiti wa Mtaa Jela Miaka 4 kwa kupokea Rushwa ya Tsh. 60,000

    Hii hukumu imekaaje? Kuna kiongozi mwingine wa serikali nimeona amehukumiwa na mahakama hii hii kwa kosa la ubadhirifu wa fedha za wananchi kama milioni moja hivi na kidogo, hukumu yake ilikuwa jela miezi tano au faini ya laki 2. Sasa huyu hongo ya elfu 60 asote rumande miaka minne au fainu ya...
  2. T

    Hivi ni kweli kwamba huwezi kuwa tajiri kama umeajiriwa au unamfanyia kazi mtu?

    Utajiri na umasikini vipo kwenye fikra mdogoetu. Kufanya kazi za kuajiriwa sio mbaya kama unafanya kwa malengo na unajitambua, unaijua size ya future yako. Sikushauri uifanye kwa mda mrefu. Ifanye mpaka pale ambapo malengo yako ya kusonga mbele yatakuwa yametimia
  3. T

    Hivi ni kweli kwamba huwezi kuwa tajiri kama umeajiriwa au unamfanyia kazi mtu?

    Utajiri na umasikini vipo kwenye fikra mdogoetu. Kufanya kazi za kuajiriwa sio mbaya kama unafanya kwa malengo na unajitambua, unaijua size ya future yako. Sikushauri uifanye kwa mda mrefu. Ifanye mpaka pale ambapo malengo yako ya kusonga mbele yatakuwa yametimia.
  4. T

    Msaada wa kuunganishwa ajira. Nina shahada ya ualimu (Hesabu & IT)

    Brother, nimepambana nimeshindwa jinsi ya kum-pm mtu.
  5. T

    Msaada wa kuunganishwa ajira. Nina shahada ya ualimu (Hesabu & IT)

    Wakuu, nina degree ya ualimu (kwa masomo ya MATHS & IT). Nimehangaika sana angalau kupata sehemu napoweza kupiga kibarua nipate chochote kitu ila wapi! Naomba kama kuna mtu anaweza kuniunganisha au kunisaidia kupata job afanye hivyo tafadhali. Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom